Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Haswaa
Hii bei ya Ulaya ila ukiipata ya kutoka Japan lazima bei itakuwa chini kidogo
Hii gari mwaka 2011 kipindi Sinza inawaka kila sehemu pa moto pale Mori Big Born petrol station nilimuona jamaa anashuka kwenye Discovery 3 yake akaenda kumng’ang’ania mtu atangaze offer yoyote ampe hela amwachie Glanza yake,ilikuwa kama kituko lakini haikuwa utani jamaa alikuwa anamaanisha.

Jamaa alikuwa amekafunga mziki mzito amefungulia sauti ya chini sana inasikika na aliye karibu na kameoshwa vizuri kanang'aa aisee,sikujua waliishia wapi lakini reaction ya yule jamaa wa discovery ilinifanya niiheshimu sana hii gari.
 
Ni Imani yako …binafsi nikijinenea kitu asilimia kubwa nafanikiwa mambo ya kujinenea kushindwaa sitaki kabisa😀 kama hapa naamini nitaendesha Velar tena kwa muda nilioplan
 
Vanguard zenye bei ndogo ndiyo zinauzwa sh ngapi Mkuu
 
Vanguard zenye bei ndogo ndiyo zinauzwa sh ngapi Mkuu
😂😂😂 Nilimaanisha ni IST zenye bei kubwa.

Kwamba IST ni nyingi kwa sababu zinavutia na bei zake ni ndogo kumfanya kila mwenye hela ndogo kuzinunua na hizo mbili Harrier na Vanguard ni bei kubwa zinavutia kiasi kumfanya kila mwenye hela nyingi kidogo kuzinunua.
 
Aisee huu mchezo wa kuvuana gari wanao sana waarabu wale wa mafuta
Kumbe ipo kila mahali
Huwezi amini mwaka 82 nilolazimishwa niuze gari langu kwa sababu nilii pimp kwa rim za uhakika na pia side mirror zilikuwa sio original na Ariel mbili nyuma enzi hizo walikuwa wanatumia wapelelezi kwa kufunga simu za upepo ila ilikuwa sio marufuku kama kwetu na njaa zao kila kitu marufuku

Ila napenda sport cars mpaka kesho ingawa nimezeeka ila Ferrari kwa wazee kama mimi ni sawa sio aibu 😄
 
Nim
 
Tatizo huku tulipo hizo kazi za kuchapa ili kupata hela hiyo hakuna mkuu
Unaishia kupata hela ya ugali tena Kwa mbinde
Zinaliwa na wachache wenye tamaa
Halafu tunajisifu tuna rasilimali za kila aina

Ni kweli kabisa kwa huku kupeleka Range au Jag au gari yeyote ni uamuzi wwko tu maana unaweza na pia gari sio anasa ni moja ya usafiri kwa wengi
Huku kupanda bus au train ni ghali sana kwa sasa na kila mwaka wanapandisha bei
Hata uwe kuli unapeleka Benz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…