Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Haujakutana na za kisasa nini mzee? Full luxurious. Seat za kibabe , AC, android radio, music system. Zimetengenezwa kibabe san
Za kisasa ni hizi LC 200 na LC 300 Wamalawi wanatushangaa sana kutembelea gari za Polisi au Ambulance kwao sisi tunaona gari za kulia Bata mimi hizo ndio nacheza nazo sana kwa kuwa niliamka kitambo sio gari za Bata hizo hata iweje ila home inatakiwa iwepo moja ya shamba au porini.
Hizi ndio nazileta Tanzania kwa wakata magari yawe ya kubebea wageni Arusha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…