Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Harrier Anaconda ya 2023. Yale macho yananikosha..iwe nyeusiii

Audi Q5 iwe nyeusiii

BMW X5 iwe nyeusiii

Nissan xtrail ya 2024 iwe dark blue 🔥

Naziendesha sana ndotoni hizo gari 🥰
Namimi ndotoni, kuna mtu huwa ananiungisha sana MATIKITI pale kijiweni kwangu akiwa ndani ya hizo gari ulizotaja hapo juu,..... SHUKRAN SANA MKUU 🙏🙏 kumbe ndo wewe mteja wangu wa maana,.....
 
Sikiliza video hii


View: https://www.youtube.com/watch?v=BaCw8ikEfJU
Kuanzia dakika ya 8:00
 
Unyama mwingine, J70
 

Attachments

  • Screenshot_20250127_212259_Opera Mini.jpg
    151.3 KB · Views: 4
umeshajua ni pesangapi hiyo gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…