NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
Namimi ndotoni, kuna mtu huwa ananiungisha sana MATIKITI pale kijiweni kwangu akiwa ndani ya hizo gari ulizotaja hapo juu,..... SHUKRAN SANA MKUU 🙏🙏 kumbe ndo wewe mteja wangu wa maana,.....Harrier Anaconda ya 2023. Yale macho yananikosha..iwe nyeusiii
Audi Q5 iwe nyeusiii
BMW X5 iwe nyeusiii
Nissan xtrail ya 2024 iwe dark blue 🔥
Naziendesha sana ndotoni hizo gari 🥰