Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Fj cr
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.

Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula

Toyota Fj Cruise
 
Hahahah acha nichape kaz sema hii age ya floor 3 inanivuruga sometime!!!??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚
Usijali kwani afya muhimu sana
Ukiwa nayo jitunze piga kazi sana ila weka hela pia hiyo ndio muhimu zaidi (akiba)
Wengi watakuambia mbona tunafanya kazi ila maisha magumu
Huyo hajajua formula ya maisha bado πŸ˜„ 🀣

Kweli kama ni afrika ni ngumu bila kuwa na biashara hata mbili tatu
 
Nimeona 110, nimekumbuka home. Limebaki kubadilishwa rangi tuπŸ˜‚πŸ˜‚ ila lilitusaidia kujifunza, sisi tunaona aibu tunatamani mshua akienda shambani aliache huko . Chuma linarudi kamili. πŸ˜‚
Mpk sahiv mnalo ?
 
Nimeona 110, nimekumbuka home. Limebaki kubadilishwa rangi tuπŸ˜‚πŸ˜‚ ila lilitusaidia kujifunza, sisi tunaona aibu tunatamani mshua akienda shambani aliache huko . Chuma linarudi kamili. πŸ˜‚
Usiidharau hiyo chuma, baba yangu alijifunzia kuendesha mwaka 67 siku moja nikajitia mjanja kuiba funguo nikaligonga kwenye ukuta

Zee moja noko likamtonya Mshua, nilikula kipigo hicho

Ila angalia bei zake majuu zinauzwaje ikiwa imetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…