Karungi baby girl
JF-Expert Member
- Oct 10, 2023
- 301
- 380
Lamborghini veneno this is mineNajua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171
Kweli chaguo zuri hiliStarlet EP90 Glanza View attachment 3063548
Lorry ama?Nisan mahindra
Mr BeanMwamba anakafunga na komeo kisha kufuri
$222b utajiri ashindwe?Dogo hii chuma hata Elon Musk bado hajaweza kuinunua 😆
🤣🤣🤣 Tulia mkuu!Hapo utanunua hata guta?
ok sawaView attachment 3063648
Nishajiambia
"One day yes"
Hii gari huwa inanitoa udenda kila nikiiona
I love you ford ranger Everest😘
Kuna mtu anacho kanisani kwetu...Kila nikiangalia movie yoyote ya Mr bean huwa natamani ile gari yake
Unasali wapi? nataka kuungana na nyie.Kuna mtu anacho kanisani kwetu...
😃😃Unasali wapi? nataka kuungana na nyie.
Natamani nikuambie chagua nyingine ila nikakumbuka ndiyo chaguo lako😀Mie siku nikipata crown athlete aisee naona sitalala huo usiku.
Anyways kwa sasa wacha niendelee kufukuza upepo na boxer yangu ila one day yes