Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

XT bei bado imesimama
 
Kwahiyo imprezza inatumia 90,000 per day mizunguko ya town?
 
Hapana, namuheshimu killa mtu. Mimi ni mtanzania mwenye asli ya uarabu.
Na nimesomea car enginearing In Germany.
All hamdulillah najitegemea na I am very average guy.
Na uzoefu zaidi ya miaka 31, umri sasa 51.
Karibu kwa ushauri.
...it sounds good..[emoji4]
Tunashukuru kwa ufafanuzi ulioutoq pale juu..[emoji120][emoji120]
 
Mzee baba volkswagen polo kagari kamoja katamu saaana then nowdayz naona wengi wanaziagizaga nahis unafuu wa bei pia ila gari iko njema saana !!!
 
Mzee baba volkswagen polo kagari kamoja katamu saaana then nowdayz naona wengi wanaziagizaga nahis unafuu wa bei pia ila gari iko njema saana !!!

Ni katamu sana mkuu yani sijawah kujutia, yani mtu akishindwa kuihudumia polo basi hatoweza gari yoyote ya mjerumani.

Mtu kama anataka cheap european car nashauri haka kadude
 
a k a kigoda! Kwenye mambo ya comfortability ni sufuri kabisa!
Mtu anapima suti kulingana na urefu wake! Suzuki Jimny ni CC 650!! Lita moja unatembea kilomita 20! Ina 4WD, hukwami kwenye utelezi! Hii ni gari nzuri kwa vijana wenye mishe mishe nyingi! Ukiweka mafuta ya sh 50,000/= unasahau kama gari huwa zinatumia mafuta! Mambo ya comfortability yanawahusu wazee waliopata fedha tayari na wana uwezo wa kusukuma Kluger CC 3000 lita moja kilometer 6! Kwenye highway lita 1 kilometer 7.
 
Sio kweli hapo umedanganya suzuki jimmy fuel consuption yake cc650 ila inatumia high way km 14 kwa lita 1 usijidanganye kuwa eti cc ndio inafanya consuption ya mafuta inapungua achana na story za vijiweni
 
"Konda nishushe hapo mbele kwenye vita"
 
Dah Kuna watu mmebarikwa sana duniani hapa.......one day yes!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nissan Patrol Y62 V8 , Ya petrol, 2017, ina five years sasa nimenunua mpya Nissan pale 124,700USD, SASA ina kilometa 102345.
Imeshuka thamani nimepewa offer 100M. Tu.
Na hilux 2017 imekost hadi Dar 48,258usd.
Crown imecost 10,9450Usd.

Nauza nissan ni PM njoo ulipe uchukue full documents. Mbadala inakuja Toyota prado 2021 - 87,000usd. Nimenunua via finance.
Na Pick UP Nissan used Td42 36,000usd.
Sasa unashangaa nini ???
Mi mwenyewe na ndoto one year or two nimiliki 300series Dola 167,000.
Kwa sasa siwezi na meengi ya kufanya.
BMWx5 nilinunua 85M Tshs. Ilisumbua sana nikauza baada ya three years 37M.
Eti mimi nadai si dai na kwa umri wangu sikumbuki gari nilizonunua na kuuza.
Sasa najenga zaidi umri umesogea watoto majukumu nikiyamaliza Insha Allah in 2yrs or before my dream car Toyota land Cruiser Vxr 300series ntanunua.
Muda huu uwezo wangu Prado 2021 Diisel Fully loaded.
USIPATE SHIDA MUNGU AKUONDOLEE HUSDA NA MASHAKA.
Nauza hiyo Nissan Y62 Ipo bompa njoo pm
Tufanye biashara ana kwa ana at my office.
 

Nissan V8 ya miaka chini ya mitano na kilomita chini ya 100,000 umeua coils, pumps, plugs, sensors na radiator?!


Tuangalie known issues zake na namna gani ambavyo huenda ulichangia....


From VK56DE/VD 5.6L Engine - In-Depth Look at Design and Reliability
 
Ipi bora kati ya hizi wadau

Toyota crown new model na mazda exale?
Ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…