Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

1. Range rovers- haya magari si imara na yatakugharimu kiasi kikubwa kutengeneza. Na pia thamani yake inashuka haraka sana pale tu linapoanza kutumika. Mbadala wa hili unaweza kumiliki landcruiser 200series (maararufu kama v8)
Hapa focus tu kwenye depreciation.

RR ni kama Ndege ya aridhini, kufanya maintenance na repairs frequently ni kawaida tu.
 

Vp Nissan patrol y61
 
Hapo kwenye Toyota umenikosha, hizo ndio gari zangu pendwa
 
Ukitaka yakukute, osha Engine ya Nissan Xtrail, hakika Alternator itakufa hapo hapo na itakupasa ukanunue nyingine. Nissan wamechemsha sana gari zao

Kuosha kupi sasa
Nimeosha xtrail kwa miaka 8 na sijaona unachosema
 
Hatari Sana lakini nissan ni shida
 
Wakuu hivi kati ya
IST 1.5L new model ya 2010
IST 1.5L old model ya 2005
Ipi Ina performance nzuri na comfortability kwenye road ukiachana na gharama zao.
 
Kuosha kupi sasa
Nimeosha xtrail kwa miaka 8 na sijaona unachosema
Mimi nimetumia:
Nissan sunny mpaka nikauza sikupata shida. miaka 7
Nissan Xtrail miaka 3 mpaka nimeuza sikuona shida kubwa
Nissan Skyline mwaka bila shida (mpaka ikapata ajali ikaisha)
Nissan March ya 2006 ninayo mpaka sasa haina shida
Gari ni kujua matunzo na service zake tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…