The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Inaelekea chama bado kimeshika UTAMU ............ sorry, HATAMU!!Jamani nimeona kwenye vyombo vya habari kuwa kuna kikao cha chama kinaendelea Ikulu. Sasa mimi najua wale wengine waliisha pigwa stop siasa mpaka 2020 na mikutano marufufu hata ile ya ndani ni shida tu kila siku wanafurushwa sasa iweje hawa wanafanya tena kwenye nyumba ya umma? je hawa wengine nao wakiomba kwenda kufanyia vikao vyao kumbi za Ikulu wataruhusiwa?
CCM inatawala na kila kitu ni chao hata wakiamua kufanyia bungeni hakuna mahakama ambayo haiko chini ya serekali ya chama cha Mapinduzi piaHahaha yaani tuna shiida upstairs!! Hivi kwa kuwa CCM ni chama tawala mnaweza kufanyia hata kwenye kumbi za mahakama??
Dunia ya wapumbavu tuu ndo inaweza kufanya huo uzwazwa unaouteteaCCM ndio chama tawala Ikulu iko chini yao lazima tukubali hata huko duniani kote vinafanyika
United Russia wanakutana Kremlin na Putin tumeona, Republican wakikutana White house Jubilee wakikutana na Kenyata Ikulu sasa wewe unataka Rais akakutane na watu wake ddc kariakoo au vipiDunia ya wapumbavu tuu ndo inaweza kufanya huo uzwazwa unaoutetea
Hilo liko wazi chama chenye Dola ni CCM siku na sisi TPP Maendeleo tukipata nchi tutafanyia IkuluInaelekea chama bado kimeshika UTAMU ............ sorry, HATAMU!!
...HAKIKA!waumini wa kanisa hawawezi kwenda kufanyanyia ufusuka kanisani
Tundu Lissu ana vyeo vingapi, ?? Huwa anatofautishaje maneno na vyeo vyake kwenye press conferenceAskofu ama padri hawezi kufanyia vikao vya ukoo ama famlya yake kanisani
Hivyo hivyo rais magufuli hawezi kufanyia vikao vya ccm ikulu
Waumini wa kanisa wanaruhusiwa kwenda kusali kanisani kila wakihitaji,lkn waumini wa kanisa hawawezi kwenda kufanyanyia ufusuka kanisani
Hivyo hivyo watanzania wanaruhusiwa kwenda ikulu kumuona rais wetu,lkn ccm kama chama hakiruhusiwi kufanyia vikao vyake ikulu
Ccm kufanyia vikao vyake ikulu ni sawa na kushusha hadhi ya ikulu yetu
Ilitakiwa wawe wanasema sasa! Au content inaweza onyesha hapa kasema kama Rais au mwenyekiti, au katibu!Tundu Lissu ana vyeo vingapi, ?? Huwa anatofautishaje maneno na vyeo vyake kwenye press conference