CCM miaka ya hivi karibuni (hususani chini ya awamu hii) inafanya mambo yake kama vile mtu anayetaka kujinoma kamwisho-mwisho kabla utamu haujaondolewa.Naomba kufahamishwa na wale wenye kufahamu zaidi, hivi ni sawa vikao vya CCM kufanyika Ikulu? Ninavyotambua Ikulu huwasikilisha serikali ikiwa ni pamoja na jamii nzima ya Tanzania.
Hivi CUF, TLP au Chadema wanaweza kufanyia mikutano yao Ikulu au katika sehemu zingine kama hizo?
Mkuu sio kweli kwamba tokea zamani vilikuwa vinafanyika kwenye makao ya ccm,Kuanzia wakati wa Mwalimu Nyerere,Wakati wa Mwinyi,Wakati wa Mkapa,Wakati wa Kikwete mpaka utawala huu wa awamu ya tano,wote wamefanyia vikao,vya chama kinachotawala ikulu.Mkuu, naomba nikiwa nikufahamishe kuwa sina personal issue na mtu yeyote, na uandishi wangu hautawaliwi na hizo. Kama umesoma vizuri nimeuliza swali la kimsingi kuhusu kufanyia vikao vya chama tawala ikulu. Nakumbuka kuanzia enzi za TANU (ndiyo, nakumbuka vizuri sana) vikao vya chama vilifanyika katika ofisi za chama, hata wakati wa Chama kiliposhika hatamu, ndio kwanza makao makuu ya CCM Lumumba street, yakapata hadhi zaidi. Je kumekuwa na mabadiliko rasmi mapya yaliyotokea ambapo chama tawala kimeshika hatamu tena
Naomba kufahamishwa na wale wenye kufahamu zaidi, hivi ni sawa vikao vya CCM kufanyika Ikulu? Ninavyotambua Ikulu huwasikilisha serikali ikiwa ni pamoja na jamii nzima ya Tanzania.
Hivi CUF, TLP au Chadema wanaweza kufanyia mikutano yao Ikulu au katika sehemu zingine kama hizo?
Kufanyika mara nyingi hakuhalalishi jambo.Vikao vya Kamati Kuu ya CCM vimekuwa vikifanyika Ikulu tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo enzi za Mama. Hakuna la ajabu hapo.
Kwa hili la Vikao vya CCM ni halali kwasababu ni utaratibu uliokuwepo. Na kila kiongozi wa CCM anauenzi utaratibu hata kama Kuna wavimba macho wachache wanaoupinga. Hayo ya kuua muulize Gaidi Mbowe!Kufanyika mara nyingi hakuhalalishi jambo.
Watu wakiuua mara nyingi, does it make murder legal?
Enzj za Nyerere mfumo ulikuwa was Chama kimojaVikao vya Kamati Kuu ya CCM vimekuwa vikifanyika Ikulu tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo enzi za Mama. Hakuna la ajabu hapo.
Kwahiyo?Enzj za Nyerere mfumo ulikuwa was Chama kimoja
MIMI NA MAGUFULI KITU KIMOJA.... Jiwe alikuwa anafanya upuuzi huo huo kwenye ofisi ya umma kwa chama chake, against the rules and regulation of doing political party affairsNchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama. Suala hili ni kinyume cha sheria kutumia ofisi ya umma kufanyia mkutano wa chama cha siasa.
CCM mna ofisi Lumumba, Dodoma mna majengo mawili pale JK Convertion centre pamoja na lile jengo lenu la bendera ya chuma Nendeni huko hata mkalale kabisa hakuna atakayewahoji lakini kutumia mali ya umma kufanyia kikao chenu ni big NO.
Mnatuudhi.
Aliposema yeye na Magufuli ni kitu kimoja wengi hatukumwelewaNchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama. Suala hili ni kinyume cha sheria kutumia ofisi ya umma kufanyia mkutano wa chama cha siasa.
CCM mna ofisi Lumumba, Dodoma mna majengo mawili pale JK Convertion centre pamoja na lile jengo lenu la bendera ya chuma Nendeni huko hata mkalale kabisa hakuna atakayewahoji lakini kutumia mali ya umma kufanyia kikao chenu ni big NO.
Mnatuudhi.
Chama kinaendeshwa kwa fedha za umma na sisi tupo kimyaMIMI NA MAGUFULI KITU KIMOJA.... Jiwe alikuwa anafanya upuuzi huo huo kwenye ofisi ya umma kwa chama chake, against the rules and regulation of doing political party affairs
Ni ujinga, kwanini na CHADEMA wasiende kufanyia ofisi ya RC?Enzj za Nyerere mfumo ulikuwa was Chama kimoja