Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

Ata wakigala gala uko na vikao visivyoisha hakuna jambo jipya watakalofanya kwenye hii nchi.Uwezo na mawazo yao yameshafika ukingoni.
 
Wewe unaona katiba iliopo inafuatwa na hao viongozi wa juu
 
CCM nacho ni CHAMA CHA UMMA.........

Unapoiongoza nchi wewe unasimamia maslahi ya nchi......

Siku CHADEMA ikiongoza nchi nayo ifanyie vikao hapohapo.....

#SiempreCCM
 
Actually, Samia ni katili kuliko Magufuli. kama alidiriki kusema kuwa hata mkishinda lakini CCM itaunda serikali, basi nilijua kuwa huyu mama ni Katili kuliko unavyoweza kufikiria. Sijui ni hulka ya watu hao! Sikutegemea kwa mwanamke kama yeye
🤣🤣Leo mh.Samia amekua ni zaidi ya mtu mliyekesha KUMSHAMBULIA, KUMZODOA NA KUMLAANI 😲

Si katili....bali ni majukumu tu ya RAIS WA NCHI.....

#SiempreCCM
#SiempreJMT
#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoWenyeweNiAmaniNaUtulivuWaNchi
#KaziIendelee
 
Kwa sababu ni wababe na hamna la kuwafanya nchi wameiweka kwenye kiganja

Wao ndio final say wao ndio katiba whether you like it or not

Plus wabongo bado ni misekule wamelala hawajaamka
 
Mkuu, Mama alishasema yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Haipaswi tena kumtafuta aliye hai katika wafu, ni lazima tutegemee njia zote alizozipitia mwendazake ndizo naye atazifuata.
 
Kwa sababu ni wababe na hamna la kuwafanya nchi wameiweka kwenye kiganja

Wao ndio final say wao ndio katiba whether you like it or not

Plus wabongo bado ni misekule wamelala hawajaamka
Wabongo wameshaamka.....hawataki ujinga wa TIGRAY ,Kongo ,Somalia na kwengineko.....bora uwe na amani na utulivu huku ukila mlo mmoja kuliko "MILO 3 KATIKATI YA UWANJA WA MACHAFUKO"

#SiempreCCM
#TujitokezeniKuchanjwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Actually, Samia ni katili kuliko Magufuli. kama alidiriki kusema kuwa hata mkishinda lakini CCM itaunda serikali, basi nilijua kuwa huyu mama ni Katili kuliko unavyoweza kufikiria. Sijui ni hulka ya watu hao! Sikutegemea kwa mwanamke kama yeye
Hafai ni mtu hatari sn
 
Ni kwa sababu hakuna kitu mnaweza kuwafanya.
 
Hafai ni mtu hatari sn
😲😲🤣🤣

Alipokwenda kumzuru Tundu Lissu kule Kenya ....ALIFAA NA MTU MZURI SANA!

Serikali yake ilipowaacha huru UAMSHO.....ALIFAA NA MTU MZURI SANA!!!

Serikali yake ILIPOMUACHIA HURU MDUDE NYAGALI....ALIFAA NA MTU MZURI SANA.....

Kesi ya Mbowe....wakarudishiwa milioni 300.....ALIFAA NA MTU MZURI SANA......

Rais si wa KUENDESHWA na RIMOTI CONTROL na CHADEMA NA WENGINEO.....

ENDELEENI KUUFUKUZA UPEPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…