Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

MUUNGANIKO KATI YA SHUGHULI ZA CCM KWA KUCHANGANYIKANA NA SHUGHULI ZA KISERIKALI KUNAFILISI NA KUDIDIMIA KWA MAENDELEO YA NCHI ZAIDI YA WALIVYOWEZA KUBAINI EUROPEAN UNION KWENYE UCHAGHUZI 2010

Surely, President Kikwete how do you just call-street party meetings into a government state house and you just do this without any bit of gult or shame??

Majuzi tu mkuu umetumia ndege yetu, posho zetu na muda wetu wa kufanyia serikali kazi ili mshahara wako wa February uingie ki-halali, kwenda na jopo kubwa la wana-CCM kwenye shughuli ya kichama na kucheza Makirikiri kule Botswana na wala hukuhisi huo UFISADI uliotendeka kwa kubaka rasmali ambazo kimsingi huna uhalali nayo kwa shughuli kama hiyo.

Makamu wako Bilal ilikua ni mpaka wananchi wamzomee kule Tunduma ndio apate kushtuka kwamba katika ziara ile watu walikua tayari kumsikiliza Makamu wa Rais wa JMT na katu hawakua tayari kusikia hata tone ya hutuba ya Kada wa CCM anayeishi katika ulimwengu wa ndoto akidhani kwamba Tanzania ya leo kila umwonaye barabarani bado eti ni mwana-CCM. Jmani mbona hamjifunziiiiiiiii?????

Mkuu wa Mkoa Stella Manyanya, naye pamoja na usomi wake ule wote bado kapumbazika ghafla tu kwa kushindwa kujua kwamba shughuli za ki-CCM ni tofauti kabisa na zile za ki-Serikali sawa tu na jinsi mambo yalivyo kwenye karakana za Engineering pale UDSM kwamba injini ya trekta ni tofauti kabisa na injini ya toyota saloon pamoja na kwamba yote bado hutajwa kama injini tu.

Prof Button vipi huyu mwanafunzi wako?? Eti anatumia hadhara ya kiserikali kukaribisha watu aliowabatiza jina kuwa ni Wana-CHADEMA kwenda CCM; ama kweli hata msomi akishajiunga huko naye yale yale!!!!!!!!

CCM wameulipa serikali ya JMT kiasi gani cha fedha kutumia ukumbi huo wa hapo state house, kutumia vinywaji na pengine hata kupewa posho?

Tafadhali Mkaguzi wa mahesabu za seriukali tunaomba taarifa juu ya bajeti na matumizi ya ikulu katika kipindi walau cha miaka 3 ya fedha ili tuone usahihi wa matumizi hayo, tija kwa taifa, na iweze kutupa mwanga wa kiasi gani chombo hiki kije kipewe au kisipewe kwenye bajeti ya mwaka ujao wa fedha.

Ewe mwanasheria Mkuu ambaye ndiwe mshuri mkuu wa serikali kuhusu maswala ya ki-sheria nchini, tafdhali andaa semina kubwa ajabu na ukamuite Dr Semboja wa chuo kikuu cha Dar es Salaam aje akawapige shule viongozi wetu hawa TOFAUTI KATI YA YALIO YA CHAMA NA YALE YALIO YA KISERIKALI kabla watu hatujaanza kuwaomba mkutano kule mahakamani juu ya matumizi mabaya ya ofisi na rasilmali ambazo hata wana-KAFU nao wamelipia.

Yaani hata wewe Januari Makamba tunaoaminishwa kukaa sana huko ughibuni batu tu tunakuona ukikata shingo kwenye THAT PAROCHIAL PARTY MEETING BUT USING STATE RESOURCE BELONGING TO MEMBERS OF ALL OTHER POLITICAL parties in the country yet without any shame on your face??

Hivi ndivyo mnavyotupigia kelele kila situ eti mnataka utawala wanchi hii iwe mikononi mwao baadhi ya WATANZANIA WANAOJIKWEZA KAMA VIJANA sasa wakati mienendo yao ndio kama hivi ya kizee kwelikweli hivi sawa tu na Mzee Pius Msekwa kwenye kikao hichop hicho?? Sasa ubani na mwarobaini ya ujana mnaoringia kila siku iko wapi hadi hapo??

Chonde Mhe Rais Kikwete, kabla haujafanya jitihada za kutenganisha kofia za U-Bunge na U-NEC huko ndani ya chama chenu ili kumdhibiti Lowassa na kumleta chaguo lako dhaifu kuja kuongoza nchi kwa kisingizio cha jinsia tu, hebu kwanza katutenganishie kofia ya kiserikali iwe mbali kabisa na ile ya kichama hata kabla hatujaingiza hili kwenye katiba mpya ijayo.
 
ccccm.JPG

ccccm1.JPG

JK Aongoza Kamati Kuu Ikulu Leo February 27, 2012

Hapo utakuwa umempendela. Heri ubongo wa kuku maana wao wakiona giza linaingia ubongo wao unawatuma kutafuta sehemu ya kulala. Mie namweka kwenye kundi la chura. Jaribu kumchukua chura, mweke kwenye sufuria yenye maji baridi, then chemsha hayo mpaka yachemke wakati akiwa kwenye hayo maji uone kama ataruka.

Please choose civility.
 
Ni kweli hakuna majungu Zakumi, mbona viliendeshwa vikao vya vyama vya siasa Ikulu, walianza CHADEMA, CUF na baadaye NCCR - Mageuzi. Leo wamekwenda CCM hata kama mada si katiba mpya wanaona ni tatizo?

Kikwete alikutana na Chadema, NCCR and CUF kama Rais au Mwenyekiti wa CCM? Hivi kweli nyie mnaandika tuu kwa makusudi au ndio mwisho upeo wenu wa kufikiri? Dah!
 
Jamani serikali hii inaitwa ya CCM. Baba akimtembelea mwanae kwa mazungumzo wayafanyie kivulini, mwembeni? Mtoto atakosa laana kweli! Tusubiri KATIBA MPYA iyaweke haya wazi. Hakuna kipengere cha Katiba ya sasa kilichovunjwa hapo wala sheria yoyote ya nchi.

Ndio maana nikasema kuwa wakati Hitler akiua zaidi ya watu milioni sita hakuvunja kipengele cha katiba ya wakati huo wala sheria sheria ya Ujurumani wakati huo. But was he right to kill those people? Kwa vile hakuna sheria yoyote nchini inayokulazimisha kumwokoa mtoto mdogo anayezama kwenye dimbwi la maji (unless wewe ni mwokoaji) unaona ni right kumwacha huyo mtoto azame na hatimaye kufariki japokuwa ungeweza kuokoa maisha yake?
 
Tafsiri halali kabisa ya ikulu ni ofisi pamoja na makazi ya rais; sasa utajumlisha mwenyewe kwamba ni mikutano ipi anaruhusiwa na ipi haruhusiwi.
 
Rais kaona ni bora kufanyia kikao ikulu ili kuepusha gharama za yeye kufanyia kikao Lumumba au Dodoma. Ingebidi achome mafuta mengi, posho za wasaidizi wake, pamoja na gharama nyingine za usalama. So akaamua kufanya kikao white house kama best strategy, au vipi?

Kama hiyo ndio sababu then, kwa kuwa Rais ni Mwenyekiti wa CCM si ahamishie tuu makao makuu ya CCM Ikulu ili apunguze hizo gharama? Mkuu to me that was the worst strategy. Na waliomshari kama walikuwa na sababu uliyoitoa, then cha moto tutakiona: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/217960-new-multi-function-hall-at-state-house.html
 
Mimi naona zigo hili atupiwe Tendwa kwa maana yeye hasa ndiye anayetakiwa kusimamia sheria za vyama tumuone jinsi anavyoweweseka kama kuna mwandishi Please mtupie hili swali Tendwa afafanuwe kuwa inakuwaje CCM kutumia rasimali za nchi kuendeshea vikao vyao vya chama kinyume na utaratibu wa sheria za kusimamia vyama vya siasa ???

Spot on. Chama cha siasa kinaruhusiwa kuendesha vikao vyake Ikulu? Ni bora tujue wazi kama siku hizi Ikulu inakodisha kumbi za mikutano na sisi tukaombe kuendeshea meetings na ma-conference mle.
 
akili zake ziko lehani hajui kipi afanye, hajui miiko ya vikao yeye ni safari tu.
 
kichwa cha mwenda wazimu hicho, hakina kitu yeye ni safari tu taratibu hazijui.
 
Kikwete alikutana na Chadema, NCCR and CUF kama Rais au Mwenyekiti wa CCM? Hivi kweli nyie mnaandika tuu kwa makusudi au ndio mwisho upeo wenu wa kufikiri? Dah!
Mkuu amini nakwambia hiyo ndo taswira ya viongozi wengi wa ccm na selikali, tuyaonayo kuwa makosa kwao wanaona ni tija!.
 
Ni sheria gani inakataza mtumishi wa umma kufanya kazi za siasa mahali pake pa kazi?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni sheria gani inakataza mtumishi wa umma kufanya kazi za siasa mahali pake pa kazi?

Labda wanadhani Rais sio mtumishi wa umma. Sina uhakika kama hii sheria imebadilishwa.

Kifungu cha 5(2) cha Kanuni za Maadili ya Utendaji Katika Utumishi wa Umma (Januari 2006) kinasema kuwa "watumishi wa umma wanaweza kushiriki katika masuala ya siasa katika vyama vyao ili mradi kwa kushiriki kwao hawataonyesha upendeleo katika utendaji wa kazi zao.

Kifungu cha 5(3) kinasema pamoja na mambo mengine kuwa "Hata hivyo, Watumishi wa Umma wanapaswa kuzingatia masharti yaliyowekwa katika ushiriki wao katika masula ya siasa:

a) Hawaruhusiwi kufanya wala kujihusisha na masuala ya siasa wakati wa saa za kazi au mahali pa kazi......"

http://www.out.ac.tz/files/information/booklet.pdf
 
Labda wanadhani Rais sio mtumishi wa umma. Sina uhakika kama hii sheria imebadilishwa.

Kifungu cha 5(2) cha Kanuni za Maadili ya Utendaji Katika Utumishi wa Umma (Januari 2006) kinasema kuwa “watumishi wa umma wanaweza kushiriki katika masuala ya siasa katika vyama vyao ili mradi kwa kushiriki kwao hawataonyesha upendeleo katika utendaji wa kazi zao.

Kifungu cha 5(3) kinasema pamoja na mambo mengine kuwa “Hata hivyo, Watumishi wa Umma wanapaswa kuzingatia masharti yaliyowekwa katika ushiriki wao katika masula ya siasa:

a) Hawaruhusiwi kufanya wala kujihusisha na masuala ya siasa wakati wa saa za kazi au mahali pa kazi.

http://www.out.ac.tz/files/information/booklet.pdf

Kuna watumishi wa namna mbili. Kuna wale wanaoajiriwa kwa mikataba ya kikazi na kitaalamu. Na wale wanaoingia kwa nafasi za kisiasa.

Kwa mfano katibu mkuu katika ofisi ya rais, anashika nafasi ya kwa kuajiriwa kwa mikataba ya kikazi na kutokana na taaluma yake. Kutokana na nafasi yake hiyo, mambo yote uliyotaja hapo juu na kwenye kijitabu pepe yanamuusu. Vilevile polisi, mwanajeshi au Mwalimu.

Kwa upande mwingine waliopata nafasi zao kwa kutumia siasa, wanaendesha shughuli zao kukiwa na tofauti fulani. Kwa mfano wakati wa kampeni, rais atakuwa na priviledges zote za urais. Lakini matumizi ya priviledges hizo, hazimfanyi kutumia madaraka yake vibaya.

Hivyo basi kutumia kanuni hizo moja kwa moja kwa wenye vyeo vya siasa, kutafanya siasa isiwe siasa tena. Chukua kwa mfano wabunge wa CHADEMA au CUF, wakati wa uchaguzi mdogo uwa wanakwenda kupiga kampeni muda ambao watumishi wengine wa umma wako kazini. Je hapa wanatakuwa wanakiuka utaratibu?
 
ccccm.JPG

ccccm1.JPG

JK Aongoza Kamati Kuu Ikulu Leo February 27, 2012

Utafiti wangu wa kikao hiki cha CCM licha ya kufanyika kwa siri kutohusisha waandishi wa habari, lakini Ikulu imevun=jisha siri hiyo, dalili hata wafanyakazi wa Ikulu hawajafurahishwa na kikao cha kichama kufanyika Ikulu. Picha hii ilipigwa na mfanyakazi wa Ikulu.
 
Kuna watumishi wa namna mbili. Kuna wale wanaoajiriwa kwa mikataba ya kikazi na kitaalamu. Na wale wanaoingia kwa nafasi za kisiasa.

Kwa mfano katibu mkuu katika ofisi ya rais, anashika nafasi ya kwa kuajiriwa kwa mikataba ya kikazi na kutokana na taaluma yake. Kutokana na nafasi yake hiyo, mambo yote uliyotaja hapo juu na kwenye kijitabu pepe yanamuusu. Vilevile polisi, mwanajeshi au Mwalimu.

Kwa upande mwingine waliopata nafasi zao kwa kutumia siasa, wanaendesha shughuli zao kukiwa na tofauti fulani. Kwa mfano wakati wa kampeni, rais atakuwa na priviledges zote za urais. Lakini matumizi ya priviledges hizo, hazimfanyi kutumia madaraka yake vibaya.

Hivyo basi kutumia kanuni hizo moja kwa moja kwa wenye vyeo vya siasa, kutafanya siasa isiwe siasa tena. Chukua kwa mfano wabunge wa CHADEMA au CUF, wakati wa uchaguzi mdogo uwa wanakwenda kupiga kampeni muda ambao watumishi wengine wa umma wako kazini. Je hapa wanatakuwa wanakiuka utaratibu?

Kanuni za Maadili ya utendendakii Katika Utumishi wa umma zina-apply kwa watumishi wote wa umma whether unaingia kwa siasa or kwa mkataba.
 
Back
Top Bottom