Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Alafu anatetea kuwa karne ya sasa hivi utapata wapi bikra, asingemdanganya mwanaume vinginevyo makosa ni yake.Huyu mwanamke anayesimulia ni wale ''made in uswazi'' pure. Uswahili mtupu na maneno kama amemeza cherehani. Halafu body language yake basi. Uswahili wa namna hii ndiyo umeathiri hata maendeleo ya Tanzania. Kla kitu ni maneno mengi. Pumbafu.
Wewe pia ni kijana wa hovyo πππDah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka
Kwa zama hizi bikra sio issue ila kipengele ni mileage sasaππ
Je gari limetembea kilomita ngapi???
Kuna wengine wametembea kilomita nyingi ila miili yao iko vyema unakutana na kinanda kama ndinga imetoka kiwandani juzi
Kuna wengine sasa wamechoooka, hapo lazima umkache
YesNinaunga mkono hoja, kama hana bikra usimuoe.
Huenda kosa sio bikra ila kilicholeta shida ni kudanganya kwamba ana bikra...angesema tu mzigo second handedDah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka
Tatizo kila unapopita unakuta tayari used sana inakuwa hamna namna ila ukikuta kitu quality hakuna anayetaka kuondokaWewe pia ni kijana wa hovyo πππ
Mnawalala na kuoa hamuoi, nanilii zao mpaka zimekuwa za baridi
Eheheheh π€£π€£π€£π€£Vidada vya JF basi vikiona hiyo video vinakasirika maana humu wote ni kama bibi harusi full kulitembeza
Uswahilini raha sanaAlafu anatetea kuwa karne ya sasa hivi utapata wapi bikra, asingemdanganya mwanaume vinginevyo makosa ni yake.
Second hand inauma aisee.Huenda kosa sio bikra ila kilicholeta shida ni kudanganya kwamba ana bikra...angesema tu mzigo second handed
Mabwana wenye hela wanadanganywa hao mimi waziri wa mambo ya ndani, ulinzi sijui nini anajaa anaenda kukutana na mvuta bangi anapigwa anatuliza komweEheheheh π€£π€£π€£π€£
Hivi wadada huku jf wanafuata nini?
ππDah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka
Kwa zama hizi bikra sio issue ila kipengele ni mileage sasaππ
Je gari limetembea kilomita ngapi???
Kuna wengine wametembea kilomita nyingi ila miili yao iko vyema unakutana na kinanda kama ndinga imetoka kiwandani juzi
Kuna wengine sasa wamechoooka, hapo lazima umkache
Huyo ashindwi kuropoka kuwa kama hamtaki huyo aolewe yeye πUswahilini raha sana
Yawezekana walivokutana huko nipe nikupe bibi harusi alishajua hapa hamna ndoa ila hakutaka kusema mapemaSecond hand inauma aisee.
Jamaa bila shaka alikusudia kuoa bikra that's why alitest mtambo siku ya hatma
Pale yule reporter angejibu ndio Nina mke, angeulizwa ulimkuta na bikra?Huyo ashindwi kuropoka kuwa kama hamtaki huyo aolewe yeye π
Uswahilini nomaPale yule reporter angejibu ndio Nina mke, angeulizwa ulimkuta na bikra?
Ili uwe mfano halisi πPale yule reporter angejibu ndio Nina mke, angeulizwa ulimkuta na bikra?
Dah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukukaShangingi kakosa alichoahidiwa nikelele tupu