Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Huyu mwanamke anayesimulia ni wale ''made in uswazi'' pure. Uswahili mtupu na maneno kama amemeza cherehani. Halafu body language yake basi. Uswahili wa namna hii ndiyo umeathiri hata maendeleo ya Tanzania. Kla kitu ni maneno mengi. Pumbafu.
Alafu anatetea kuwa karne ya sasa hivi utapata wapi bikra, asingemdanganya mwanaume vinginevyo makosa ni yake.
 
Dah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka

Kwa zama hizi bikra sio issue ila kipengele ni mileage sasa😂😂

Je gari limetembea kilomita ngapi???

Kuna wengine wametembea kilomita nyingi ila miili yao iko vyema unakutana na kinanda kama ndinga imetoka kiwandani juzi

Kuna wengine sasa wamechoooka, hapo lazima umkache
Wewe pia ni kijana wa hovyo 😂😂😂
Mnawalala na kuoa hamuoi, nanilii zao mpaka zimekuwa za baridi
 
Eheheheh 🤣🤣🤣🤣
Hivi wadada huku jf wanafuata nini?
Mabwana wenye hela wanadanganywa hao mimi waziri wa mambo ya ndani, ulinzi sijui nini anajaa anaenda kukutana na mvuta bangi anapigwa anatuliza komwe
 
Dah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka

Kwa zama hizi bikra sio issue ila kipengele ni mileage sasa😂😂

Je gari limetembea kilomita ngapi???

Kuna wengine wametembea kilomita nyingi ila miili yao iko vyema unakutana na kinanda kama ndinga imetoka kiwandani juzi

Kuna wengine sasa wamechoooka, hapo lazima umkache
😀😀
 
Shangingi kakosa alichoahidiwa nikelele tupu
Dah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka

Kwa zama hizi bikra sio issue ila kipengele ni mileage sasa😂😂

Je gari limetembea kilomita ngapi???

Kuna wengine wametembea kilomita nyingi ila miili yao iko vyema unakutana na kinanda kama ndinga imetoka kiwandani juzi

Kuna wengine sasa wamechoooka, hapo lazima umkache

Unadhani ishu ni Km?? Ishu ipo ktk ufahamu, binti akisha kuwa na wanaume kadhaa hata bikra ikirudishwa kwa dawa au mashine ikiwa nzima kiasi gani bado wadau wameacha mguso ktk akili yake.

Trauma za wanaume wengine, comparison etc. Kikubwa ni Spiritual bond, huyu binti ni mke wa aliye mtoa bikra. Ila kubwa zaidi wanaume hawapendi ni mind games, una danganya una Bikra so what? Kama kitu kilichowazi kinachokwenda kudhihilika punde unadanganya je hayo mengine?? Una mcheza mtu akili una mnyima Zaga harafu kumbe kuna wahuni wanapita naye ww unahudumia tu🤣🤣.

Wewe kuwa wazi, oya bro! Hili chama la wana, walisha weka Beacon zao kabla yako, tuanzie hapa tulipo, mtu aamue yeye kuendelea au kuacha.

Huyo mama yake sijui nani anaongeaa saaaana, anahisi kupayuka ndio kushinda Arguments, akisema sikuhizi Bikra utaipata wapi! Kana kwamba sikuhizi hawazaliwi nazo.
 
Back
Top Bottom