Shangingi kakosa alichoahidiwa nikelele tupu
Dah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka
Kwa zama hizi bikra sio issue ila kipengele ni mileage sasa😂😂
Je gari limetembea kilomita ngapi???
Kuna wengine wametembea kilomita nyingi ila miili yao iko vyema unakutana na kinanda kama ndinga imetoka kiwandani juzi
Kuna wengine sasa wamechoooka, hapo lazima umkache
Unadhani ishu ni Km?? Ishu ipo ktk ufahamu, binti akisha kuwa na wanaume kadhaa hata bikra ikirudishwa kwa dawa au mashine ikiwa nzima kiasi gani bado wadau wameacha mguso ktk akili yake.
Trauma za wanaume wengine, comparison etc. Kikubwa ni Spiritual bond, huyu binti ni mke wa aliye mtoa bikra. Ila kubwa zaidi wanaume hawapendi ni mind games, una danganya una Bikra so what? Kama kitu kilichowazi kinachokwenda kudhihilika punde unadanganya je hayo mengine?? Una mcheza mtu akili una mnyima Zaga harafu kumbe kuna wahuni wanapita naye ww unahudumia tu🤣🤣.
Wewe kuwa wazi, oya bro! Hili chama la wana, walisha weka Beacon zao kabla yako, tuanzie hapa tulipo, mtu aamue yeye kuendelea au kuacha.
Huyo mama yake sijui nani anaongeaa saaaana, anahisi kupayuka ndio kushinda Arguments, akisema sikuhizi Bikra utaipata wapi! Kana kwamba sikuhizi hawazaliwi nazo.