Ni hatari kiroho kula nyama zilizogawiwa siku ya Eid El adhaa

Nguruwe haliwi na wakristo pekee duniani.

Nguruwe Huliwa na wachina kwa wingi sana na sehemu zingine pia zisozo na wakristo hasa bara Asia hula kitimoto. Hata sehemu zilizokatazwa kwa sababu za kidini analiwa vizuri tu japo kwa Siri kama madawa. Mfano Zanzibar Kuna nyama ya nguruwe inatoka bara na kuingia kwa Njia za nyuma na inauzwa bei ghali sana,na walaji wengi siyo wakristo,bali wasio wakristo. Hapa nisiseme mengi isije kuleta shida kwa wahusika.
 
Zile ni kwa ajili ya kuchukua nyota za watu,ndio maana unashangaa watoaji hawana elimu zaidi ya kusoma na kuandika ila wana akili na fedha za kutisha.Hawa jamaa wanajua sana ulimwengu wa roho na kujipatia mapato,kiroho zaidi
 
Hakika wenzetu kwao ni makafala. Mitaani watu wanafakamia tu
 
Acha kueneza uchochezi , uzandiki, uzushi, uongo na fitna. Zile nyama ni sadaka tu na halazimishwi mtu kula halafu zinagaiwa kwa watu maalum, na hao wanaotoa mara nyengine hata huyo mnyama hawamuoni , na wao wenyewe huletewa nyama tu wale na wagawe
Huna unalolijua
 
Mimi dada yangu kabisa kaolewa huko jamaa mnaweza kuwa na shida wasisaidie kitu chochote zina pita siku mbili pesa zinatumwa mbuzi zinunuliwe wagawiwe wenye shida nikaona hapa kuna namna sii bure.
Kama kweli msaada lazima uanze kwa ndugu zako na sii lazima mbuzi wakuchinja
 
............kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari.
Kama kawa, naona maadui wa Uislamu mmepamba moto katika kushambulia Uislamu kupitia jukwaa hili la JF. Baada ya kuimarisha mashambulizi yenu kupitia siasa, naona Sasa mmekuja kabisa na upande huu wa matendo ya kiimani kabsaa.

Hata hivyo, Kupitia Aya hiyo niliyoiquote hapo, nashauri maadui hao wa Uislamu kutumia watu wenye akili katika mashambulizi kuliko hawa wapumbavu wasiojua hata kujiongeza. ZAWADI ya nyama kwenye sikukuu hii hutolewa kwa wanyama hao kuchinjwa hadharani. Zinapelekwa tu ng'ombe au mbuzi halafu suala la kuchinjwa linafanyika mbele ya watu wakishuhudia......pole sana lakini ndo hivyo, nenda kajipange au kapanganishwe tena upya.
 
Thats not the point, point is anachinjwa kwa wingi mara zaidi ya 4 ya ng'ombe ama Mara zaidi ya 2 ya mbuzi.

Ku assume Ng'ombe na Mbuzi damu inamwagwa zaidi na kuacha kumtaja nguruwe kabisa ni dalili ya unafiki.
 
Huu Uzi haulengi vita dhidi ya uislam
Hapa tumechambua mambo ya kiroho
 
Aisee so yule bata niliepewa na jirani katambikwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…