bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
Yaani kuna binadamu huwa wanakereka na kila jambo hata kama haliwahusu.Kuna mtu alikulazimisha ukachukue? Lima mchicha peleka kwa mchungaji auombee ukachemshe ule, nyama achana nazo .
Yaani kuna binadamu huwa wanakereka na kila jambo hata kama haliwahusu.Kuna mtu alikulazimisha ukachukue? Lima mchicha peleka kwa mchungaji auombee ukachemshe ule, nyama achana nazo .
elewa kuwa ni ibada za kishetani kula nyama hizoKuna mtu alikulazimisha ukachukue? Lima mchicha peleka kwa mchungaji auombee ukachemshe ule, nyama achana nazo .
Chuki Gani?Maxence Melo hizo hazfai, zinaleta hisia za chuki
Kuna siku ulilazimishwa kula? Au ni njaa zako?elewa kuwa ni ibada za kishetani kula nyama hizo
Kwanini unachukia nikikwambia lima mchicha nyumbani kwako mpelekee mchungaji wako akauombee urudi ukachemshe nyumbani ule uachane na nyama?Kwanini unachukia ikitolewa elimu juu sadaka haramu za umwagaji damu na kafara
Na wewe uende Kwa mchungaji akuombee, akutolee hayo mapepo yaliyokuingia baada ya kula manyama kutoka uturiki na UarabuniKwanini unachukia nikikwambia lima mchicha nyumbani kwako mpelekee mchungaji wako akauombee urudi ukachemshe nyumbani ule uachane na nyama?
Ww ndo hujui kitu mzushi na mpumbavu mkubwa, kueneza fitna na uongoHuna unalolijua
Kwanini uue wanyama kwa ajili ya furaha yako ya siku moja?Nyie ndio wale mnadhani Nyama zinatoka kwenye supermarket na mabucha na wanyama hawachinjwi.
Twende kwa data sasa Tuangalie claim zako
View attachment 3362171
Kwa Wanyama wenye miguu 4
On average kwa siku wanachinjwa
-ng'ombe 900,000
-mbuzi milioni 1.4
-Kondoo milioni 1.7
-Nguruwe milioni 3.8
Katika wanyama wote Wa miguu 4 wanaochinjwa Hakuna anaefika hata nusu ya Nguruwe, ila hutaskia watu wa upande wenu wakikemea uchinjaji Nguruwe ama kumwaga damu yake ila wanakemea vitu ambavyo kikawaida hata havichinjwi zaidi.
So punguzeni chuki, jiangalieni kwenye kioo kwanza kabla ya kusema wengine.
Ni kwa sababu ya kuwapa sadaka walio masikini ambao hawawezi ku Afford hio nyama, nimeweka Ramani ya Dunia ikionesha Meat consumptionKwanini uue wanyama kwa ajili ya furaha yako ya siku moja?
Wewe ukichinjwa hivyo utafurahi
Sifurahishwi na hiyo ibada ya kuua wanyama just for one day . Hii kitu inaumiza sana na wanyama are not happy for you
Kuchinja mnyama ni mojawapo ya ibada katika uislamu then mchinjaji anagawa nyama kwa majirani ili wasijisikiwe wanyonge siku ya sikukuu.Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito
Watanzania wanavyopenda vya Bure walikimbilia hizo nyama za Bure kutoka Kwa Waturuki na waarabu,
Kiroho ni hatari hizo nyama Zina matambiko mabaya mno na wanaozila Huwa wanachukuliwa nyota zao na kutupiwa majini na mikosi
Watanzania tusipende vya dezo kisa umasikini, usikubali kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari
Kwa sisi wataalam wa mambo ya kiroho, tunawaasa na hii hatari ya kula manyama ya Eid El Adhaa kutoka Turkey na Uarabuni
Ajiulize nani alikwambia hao wagawa nyama kama shida ya Watanzania ni kitoteweo?
Kwanini hawakugawa ng'ombe au mbuzi mzima hao masikini wa Tanzania wakawafuga na kuinua vipato vyao? Kwa kupata maziwa, mbolea na mazao ya wanyama.
Kwanini iwepo siku ya kuuwa na kula hayo manyamaView attachment 3362493
Umenena plus chuki dhidi ya Uislamu badi ohoo amepata nini hapo.Huenda bucha ya mleta uzi iliyumba
mtalishaje ndugu zetu makafara?Kuna siku ulilazimishwa kula? Au ni njaa zako?
Umefika kilele Cha ujinga Sasa safari ya kichaa umeisha ianza.Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito
Watanzania wanavyopenda vya Bure walikimbilia hizo nyama za Bure kutoka Kwa Waturuki na waarabu,
Kiroho ni hatari hizo nyama Zina matambiko mabaya mno na wanaozila Huwa wanachukuliwa nyota zao na kutupiwa majini na mikosi
Watanzania tusipende vya dezo kisa umasikini, usikubali kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari
Kwa sisi wataalam wa mambo ya kiroho, tunawaasa na hii hatari ya kula manyama ya Eid El Adhaa kutoka Turkey na Uarabuni
Ajiulize nani alikwambia hao wagawa nyama kama shida ya Watanzania ni kitoteweo?
Kwanini hawakugawa ng'ombe au mbuzi mzima hao masikini wa Tanzania wakawafuga na kuinua vipato vyao? Kwa kupata maziwa, mbolea na mazao ya wanyama.
Kwanini iwepo siku ya kuuwa na kula hayo manyamaView attachment 3362493
Uturuki ni nchi yenye waislamu wengi barani ulaya?Hivi waturuki ni waarabu au wazungu?
Watu wanaumizana kisa nyama za bure