Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito
Watanzania wanavyopenda vya Bure walikimbilia hizo nyama za Bure kutoka Kwa Waturuki na waarabu,
Kiroho ni hatari hizo nyama Zina matambiko mabaya mno na wanaozila Huwa wanachukuliwa nyota zao na kutupiwa majini na mikosi
Watanzania tusipende vya dezo kisa umasikini, usikubali kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari
Kwa sisi wataalam wa mambo ya kiroho, tunawaasa na hii hatari ya kula manyama ya Eid El Adhaa kutoka Turkey na Uarabuni
Ajiulize nani alikwambia hao wagawa nyama kama shida ya Watanzania ni kitoteweo?
Kwanini hawakugawa ng'ombe au mbuzi mzima hao masikini wa Tanzania wakawafuga na kuinua vipato vyao? Kwa kupata maziwa, mbolea na mazao ya wanyama.
Kwanini iwepo siku ya kuuwa na kula hayo manyama