Ni hatari kiroho kula nyama zilizogawiwa siku ya Eid El adhaa

Ni sawa na zile nyama wanazogawa matajiri, ujue kabla ya kuchinga kuna maagano. Ukila tu unakuwa kwenye maagano, unakuwa msukule wake.
 
Kwa Imani unaweza kula hata zenye sumu mkuu.wewe ni mkristo dhaifu unayeweza kurogwa
Kwamba umeshafahamu malengo ya nyama zenyewe ni kwa ajili ya ibada halafu mkristo dhaifu? Kuna tofauti gani na kushiriki hizo ibada? Be serious!
 

kama huamini sio lazima upinge. Unaweza kaa TU kimya. Hizo ni nyama za kawaida kama unavyoenda kununua buchani. Hazina madhara yeyote usitupotoshe
 
ktk watu wapumbau wee ni kiara wao..
Duuh!
 
kama huamini sio lazima upinge. Unaweza kaa TU kimya. Hizo ni nyama za kawaida kama unavyoenda kununua buchani. Hazina madhara yeyote usitupotoshe
Mambo ya kiroho hayako rahisi kama unavofikiri
 
ile siku ya Eid nimekula nyama mweeh mpaka sahizi zipo ilibidi nizikaange niwe nakula mdogo mdogo!

Maana imeandikwa hata Mkila vitu vya kufisha havita wadhuru. Nasimamia hapo
 
Thats not the point, point is anachinjwa kwa wingi mara zaidi ya 4 ya ng'ombe ama Mara zaidi ya 2 ya mbuzi.

Ku assume Ng'ombe na Mbuzi damu inamwagwa zaidi na kuacha kumtaja nguruwe kabisa ni dalili ya unafiki.
Katika context ya mleta mada Mimi naona amezungumzia kitu tofauti/au zaidi ya hiyo kuchinjwa.

Yeye kaongelea habari ya kuchinja wanyama kwa wingi kisha kugaiwa Bure kwa wananchi wa kawaida.

Je; nguruwe anachinjwa na nyama yake kupewa raia Bure? Kwa habari ya udini nawaachia wewe na yeye,ila context yako ya nguruwe anachinjwa sana naona ulikuwa nje ya mada.
 
ile siku ya Eid nimekula nyama mweeh mpaka sahizi zipo ilibidi nizikaange niwe nakula mdogo mdogo!

Maana imeandikwa hata Mkila vitu vya kufisha havita wadhuru. Nasimamia hapo
Kama unajiita mkristo basi mkristo jina!

"... yaani, mjiepushe na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na nyama zilizosongolewa, na uasherati. Mkijizuia na hayo, mtafanya vema."
 
Yani mturuki au Muarabu tajiri anachukuwa nyota na maskini wa kimakondewa Niwala na Mhehe wa Mufindi?? kupitia Swadaka ya nyama ambayo wala hakulazimishwa kuila??Una akili ww?? yani nyie kina dada wenye trauma za kufanyiwa ukatili wa Baba watoto zenu waliowaacha mna shida sana
 
Huna unalolijua dogo
 
Huhitaji event kwa nguruwe kupita wengine, Tunaongelea Figure inayozidi Bilioni. Kuna watu Bilioni 7-8 Duniani na Nguruwe Bilioni 1 wanaochinjwa kwa mwaka, Tunaongelea Figure ya watu 8 wanakula Nguruwe mmoja peke yao.

Even kwenye Eid sisi hatujafikia Level hio.

Na hata Ukiangalia On average waisilamu hawali sana Nyama na Dini yetu pia haipendi kula sana Nyama

Ramani ya Dunia ikionesha ulaji Nyama.

Hayo ya kugawa bure ni mengine, it's not like ukigawa bure ama ukiuza Mateso ya wanyama yanapungua, iwe bure iwe kulipia it's same thing.
 
Za kishetani kwako. Waache watu na imani zao kama vile unavyoamini sanamu la Yesu kuwa ndio Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…