Wala huna haja ya kunipa pole. Mimi ni Mkristu mzuri tu ila siwezi kusema ibada ya dini fulani ni ushetani ilhali mwenyewe naenda kumlilia Mzungu fulani aliyechongwa sanamu nikamuita Mungu. Tena bora wenzetu wanachinja wanyama wazima kuliko kuabudu sanamu ulilochonga mwenyewePole
Pole wewe sababu unafikiri huko mbinguni utakutana na wale design yako. That's why it's so easy to judge others and call them demonic. Mbakeise!Pole
Mwanza ngombe 5000 wamechinjwa na kugawanywa bure na waturuki. Hivi nia ni suala la imani au kuna siasa ndani yakeHapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito
Watanzania wanavyopenda vya Bure walikimbilia hizo nyama za Bure kutoka Kwa Waturuki na waarabu,
Kiroho ni hatari hizo nyama Zina matambiko mabaya mno na wanaozila Huwa wanachukuliwa nyota zao na kutupiwa majini na mikosi
Watanzania tusipende vya dezo kisa umasikini, usikubali kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari
Kwa sisi wataalam wa mambo ya kiroho, tunawaasa na hii hatari ya kula manyama ya Eid El Adhaa kutoka Turkey na Uarabuni
Ajiulize nani alikwambia hao wagawa nyama kama shida ya Watanzania ni kitoteweo?
Kwanini hawakugawa ng'ombe au mbuzi mzima hao masikini wa Tanzania wakawafuga na kuinua vipato vyao? Kwa kupata maziwa, mbolea na mazao ya wanyama.
Kwanini iwepo siku ya kuuwa na kula hayo manyama
Jisemee wewe binafsi kama unaabdu sanamuWala huna haja ya kunipa pole. Mimi ni Mkristu mzuri tu ila siwezi kusema ibada ya dini fulani ni ushetani ilhali mwenyewe naenda kumlilia Mzungu fulani aliyechongwa sanamu nikamuita Mungu. Tena bora wenzetu wanachinja wanyama wazima kuliko kuabudu sanamu ulilochonga mwenyewe
mimi hazikua hizo nyama za waturuki au waarabu ni zile jirani kanunua huko buchani anakuletea kwa ajili ya ujirani mwema.. kilo tatu zipo ndani na nipo mwenyew tu ni kuzikaakanga na kula mdogo mdogoKama unajiita mkristo basi mkristo jina!
"... yaani, mjiepushe na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na nyama zilizosongolewa, na uasherati. Mkijizuia na hayo, mtafanya vema."
Nimesikia huko Tanga taasisi moja ilitoa ng'ombe 8,000 na wakachinjwa wote siku hiyo, nilimeogopa sana! Ng'ombe mmoja ni takriban TSh 1M, hivyo hapo zimetolewa takriban TSh 8 bilion eti ili watu wote wale nyama. Huu ni uchawi wa kitaifa!Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito
Watanzania wanavyopenda vya Bure walikimbilia hizo nyama za Bure kutoka Kwa Waturuki na waarabu,
Kiroho ni hatari hizo nyama Zina matambiko mabaya mno na wanaozila Huwa wanachukuliwa nyota zao na kutupiwa majini na mikosi
Watanzania tusipende vya dezo kisa umasikini, usikubali kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari
Kwa sisi wataalam wa mambo ya kiroho, tunawaasa na hii hatari ya kula manyama ya Eid El Adhaa kutoka Turkey na Uarabuni
Ajiulize nani alikwambia hao wagawa nyama kama shida ya Watanzania ni kitoteweo?
Kwanini hawakugawa ng'ombe au mbuzi mzima hao masikini wa Tanzania wakawafuga na kuinua vipato vyao? Kwa kupata maziwa, mbolea na mazao ya wanyama.
Kwanini iwepo siku ya kuuwa na kula hayo manyama
Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja

Utapata upinzani mkubwa sana kwenye hoja hii maana wengi hawana uelewa na mambo ya kiroho.. Ila ulichoongea ni sahihi kwa mtu wa imani toyote iwe biblia au msahafu.Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito
Watanzania wanavyopenda vya Bure walikimbilia hizo nyama za Bure kutoka Kwa Waturuki na waarabu,
Kiroho ni hatari hizo nyama Zina matambiko mabaya mno na wanaozila Huwa wanachukuliwa nyota zao na kutupiwa majini na mikosi
Watanzania tusipende vya dezo kisa umasikini, usikubali kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari
Kwa sisi wataalam wa mambo ya kiroho, tunawaasa na hii hatari ya kula manyama ya Eid El Adhaa kutoka Turkey na Uarabuni
Ajiulize nani alikwambia hao wagawa nyama kama shida ya Watanzania ni kitoteweo?
Kwanini hawakugawa ng'ombe au mbuzi mzima hao masikini wa Tanzania wakawafuga na kuinua vipato vyao? Kwa kupata maziwa, mbolea na mazao ya wanyama.
Kwanini iwepo siku ya kuuwa na kula hayo manyama
Una uelewa mdogo juu ya WanyamboToka nimewafahamu wanyambo, ni watu wenye mawazo duni, tafakuri nyepesi, wenye kuogopa sana ulozi kuliko umasikini wao, tabaka la chini lenye kumilikiwa na wahaya... Na Kuna eneo linaitwa kiyerwa Wana matajiri wao wasio na Elimu wanauza kahawa wenye kuendesha utajiri wao kwa njia za kidalali....
Enyaaaamboo.... Chonka mwanaiwe!!!!! Chooonka booojo!! Wagumaaa!!!
kwani mkuu hujui kuwa dini zote ni za shetani, hata wakristo wanamuabudu shetani, ila dini ya uislamu ndo wazi kabisa.Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito
Watanzania wanavyopenda vya Bure walikimbilia hizo nyama za Bure kutoka Kwa Waturuki na waarabu,
Kiroho ni hatari hizo nyama Zina matambiko mabaya mno na wanaozila Huwa wanachukuliwa nyota zao na kutupiwa majini na mikosi
Watanzania tusipende vya dezo kisa umasikini, usikubali kula nyama ambayo imechinjwa bila wewe kushuhudia, mnaletewa mizoga, unapewa ng'ombe au kondoo mzima lakini akiwa amekufa ni hatari
Kwa sisi wataalam wa mambo ya kiroho, tunawaasa na hii hatari ya kula manyama ya Eid El Adhaa kutoka Turkey na Uarabuni
Ajiulize nani alikwambia hao wagawa nyama kama shida ya Watanzania ni kitoteweo?
Kwanini hawakugawa ng'ombe au mbuzi mzima hao masikini wa Tanzania wakawafuga na kuinua vipato vyao? Kwa kupata maziwa, mbolea na mazao ya wanyama.
Kwanini iwepo siku ya kuuwa na kula hayo manyama
Still, that doesn't make you superior. Heshimu imani za wengine hata kama haziendani na imani yako alimradi hawafanyi vurugu kwako. Yamkini na wao wanasema ibada zako Ni za kishetani pia.Jisemee wewe binafsi kama unaabdu sanamu
Mimi namwabdu Mungu halisi
Sawa kabisa. Kila mwenye imani yake iheshimiwe.Qur’an 109
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Nimetoa funzo la kirohoStill, that doesn't make you superior. Heshimu imani za wengine hata kama haziendani na imani yako alimradi hawafanyi vurugu kwako. Yamkini na wao wanasema ibada zako Ni za kishetani pia.