Ni hatari kiroho kula nyama zilizogawiwa siku ya Eid El adhaa

Kwanini unachukia nikikwambia lima mchicha nyumbani kwako mpelekee mchungaji wako akauombee urudi ukachemshe nyumbani ule uachane na nyama?
Na wewe uende Kwa mchungaji akuombee, akutolee hayo mapepo yaliyokuingia baada ya kula manyama kutoka uturiki na Uarabuni
 
Kwanini uue wanyama kwa ajili ya furaha yako ya siku moja?

Wewe ukichinjwa hivyo utafurahi

Sifurahishwi na hiyo ibada ya kuua wanyama just for one day . Hii kitu inaumiza sana na wanyama are not happy for you
 
Cha ajabu masikini hawakupewa nyama hizo za ng'ombe, wenye nguvu walizipata kwa fujo na magendo licha ya kuwepo kwa polisi na migambo. Sasa sijui ni ibada gani ile imejaa vurugu ya kugombania nyama hadi zingine zinauzwa hapohapo ki namna. Kuna mtu alitoa elfu thelathini akapewa ng'ombe mzima na kwenda kumchuna nyumbani kwake. Nyama zingine huenda kuuzwa mabuchani. Yaani ni vurugu tupu, huko mbeleni ibada hii ya kuchinja itakuja kuzua balaa kwa watu kuumizana kwa kugombania nyama
 
Kwanini uue wanyama kwa ajili ya furaha yako ya siku moja?

Wewe ukichinjwa hivyo utafurahi

Sifurahishwi na hiyo ibada ya kuua wanyama just for one day . Hii kitu inaumiza sana na wanyama are not happy for you
Ni kwa sababu ya kuwapa sadaka walio masikini ambao hawawezi ku Afford hio nyama, nimeweka Ramani ya Dunia ikionesha Meat consumption

By far Nchi za kiisilamu zina Consumption ndogo ya nyama. So ingekua tunachinja just for fun consumption ingekua kubwa.

Unapoongelea ukatili wa wanyama Nenda Ulaya na Marekani huko ndio wanaua wanyama for fun.

Google Foie gras hakuna ukatili wa wanyama kushinda unaotumika kuandaa hilo ini. Kama wewe ni mwanaharakati wa wanyama anza balo hilo.
.
 
Kuna changamoto kubwa ya kukwepa kula nyama hizi za makafara ya waturuki na waarabu, labda usile nyama wiki nzima tangu kuanzia siku ya iddi. Utakutana nazo buchani tu, kuna zingine huendelea kuchinjwa hata si siku ya kuchinja. Chinja chinja imekuwa ikiendelea hata bila iddi uchinjaji huendelea inasemekana waturuki wana mkataba wa miaka kumi na tano ya kuchinja. Kwa staili mifugo si itaisha mpaka miaka kumi na tano itimie? Mbolea na maziwa tutapata wapi wakimaliza kuchinja mifugo?
 
Kuchinja mnyama ni mojawapo ya ibada katika uislamu then mchinjaji anagawa nyama kwa majirani ili wasijisikiwe wanyonge siku ya sikukuu.
pamoja nakupiga makelele nyie wakristo ni waroho hatari tumeona mnavyopigana vikumbo kupata magao.
Waislamu hatuna baya tunagawa bila kuangalia sura so kama biashara yako ilidoda usitupigie kelele hapa.
 
Umefika kilele Cha ujinga Sasa safari ya kichaa umeisha ianza.
 
Hivi waturuki ni waarabu au wazungu?
Watu wanaumizana kisa nyama za bure
Uturuki ni nchi yenye waislamu wengi barani ulaya?
Rais wao Rajab Twayyib Ordogan
( Rachib Tayyeb Ordogan ) ni katika marais wenye misimamo mikali ya ki Muslim Brotherhood.
Kwahiyo waturuki ni wazungu waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…