Ni hatari kiroho kula nyama zilizogawiwa siku ya Eid El adhaa

Mbona tunazonunua mabuchani tunakula!nani anashuhudia wanapozichinja?
Na wachinjaji wanaoruhusiwa kuchinja nyama za biashara nchi nzima ni waislamu.
Maawee kaziroo bojo mnyambo wa kyerwa ntikakibonaga embwa yazire nyama.🤣🤣🤣
Ubashure abashaija ba Nkwenda, Kaisho, Murongo na abamanira .
Wakora muno .
 
Wagalatia mna chuki na uislam..na hii ndio sababu ya chuki hata kwa Rais sababu ya imani yake ..vita yenu na chuki mtapigana peke yenu tushawastukia kwasasa...
 
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu alienda kuchukua nyama ya msaada... Sanasana watakua wamekula waumini wa dini hiyohiyo na baadhi ya watoto wa mitaani
Acheni chuki wapuuzi nyie. .watu wasile nyama kisa ujinga wenu..mnamtajirisha mwamposa mnawatelekeza masikini mlivyo matahiraa
 
Mimi nakushauri mkodomi wangu wa Kyerwa kula , mchicha,spinach na kabichi kama marastafari na baniani au usinunue nyama buchani .
Ukitaka nyama chinja mwenyewe mnyama wa nyumbani kwako.
Nasema hivi kwa sababu HATA HIZI NYAMA ZINAZOUZWA BUCHA ZINACHINJWA NA WAISLAMU NA HUJUI WAKICHINJA WANAFANYA MANUIZI GANI!.
 
Sio wazungu ni Kurdish wanafanana sana na Waarmenia na Warran
 
Acheni chuki wapuuzi nyie. .watu wasile nyama kisa ujinga wenu..mnamtajirisha mwamposa mnawatelekeza masikini mlivyo matahiraa
Hazina tofauti na ibada za wapagani km Wamasai, Wasukuma na Wabarbaig ambao huchinja wanyama siku ya kutambika..
 
Stupid fish
 
Wewe utakuwa Mkristo dhaifu...

Chakula hakina uhusiano na roho yako, chakula hupita tumboni kisha kinaelekea chooni
 
Sisi tumegawiwa kazini kilo 5 kila mtu mimi nimevunja maagano yao kwa damu ya Yesu nikaiwekea chumvi nikaisomea 2wafalme 2: 19-22. Nimei marinate nikaweka kwenye oven nikala vizuri
 
Wagalatia mna chuki na uislam..na hii ndio sababu ya chuki hata kwa Rais sababu ya imani yake ..vita yenu na chuki mtapigana peke yenu tushawastukia kwasasa...
Me sipo katika udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…