Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na watoto.
1. Kwanza kabsa kama umeoa, ni rahisi kugombana na mkeo, hii jinsia ikikuona upo home ni kama inaona hauna kazi ya msingi.
2. Ukiwa nyumbani kuna vijitabia vya mke wako vitakuboa, utagombana nae tu.
3. Mtembea bure, si sawa na mkaa bure. Huenda ukakutana na issue ya hela barabarani, mwisho wa siku ukarudi na mboga au mkate nyumbani kwako.
4. Ukiwa unatokatoka unakuwa unamuona mkeo mpya muda wote na hivyo kudumu nae muda mrefu (mke hutakiwi kumzoea kabisa, ni hatari).
Hata kama upo off au umetoka shift ya usiku kazini, kaa kidogo home then toka ukakae na wanaume wenzio. Kuna idea utazichota kuliko kukaa kuangaliana na mkeo, mwisho wa siku mgombane.
Mwanaume amka mapema, rudi nyumbani jua limezama..ongea na mke wako mawili matatu usiku. Hudumu jukumu la ndoa then lala kwa ajili ya siku inayofuata.