Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
TUUWENI TU..
UNGANENI NAO MTUUE
UNGANENI NAO MTUUE
Mzee wa vitonga anahamasisha vijana muhudhulia sana vijiweni kuliko kuchili hom mana atakosa vicent vya Balimi.Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na watoto.
View attachment 3272872
1. Kwanza kabsa kama umeoa, ni rahisi kugombana na mkeo, hii jinsia ikikuona upo home ni kama inaona hauna kazi ya msingi.
2. Ukiwa nyumbani kuna vijitabia vya mke wako vitakuboa, utagombana nae tu.
View attachment 3272873
3. Mtembea bure, si sawa na mkaa bure. Huenda ukakutana na issue ya hela barabarani, mwisho wa siku ukarudi na mboga au mkate nyumbani kwako.
4. Ukiwa unatokatoka unakuwa unamuona mkeo mpya muda wote na hivyo kudumu nae muda mrefu (mke hutakiwi kumzoea kabisa, ni hatari).
View attachment 3272874
Hata kama upo off au umetoka shift ya usiku kazini, kaa kidogo home then toka ukakae na wanaume wenzio. Kuna idea utazichota kuliko kukaa kuangaliana na mkeo, mwisho wa siku mgombane.
View attachment 3272875
Mwanaume amka mapema, rudi nyumbani jua limezama..ongea na mke wako mawili matatu usiku. Hudumu jukumu la ndoa then lala kwa ajili ya siku inayofuata.
Unaenda kufungia kuku au ndege wa bwana John? [emoji3][emoji3]Mimi nikitoka kazini tisa na nusu nakaa kwanza bar za beach MPAka jioni saa moja naenda kufungia kuku wangu
Qmmmq [emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa. Ni mwezi wa pili huu nashinda tu nyumbani.
Ajabu dada wa kazi anazidi kunivutia kila siku zinavyoenda.
Mm hapa kwa shangazi siwezi kutoka aisee, ndo kwanza shangazi yuko hapa anamalizia kuniandalia futari 🔥Acheni kufanya maisha yawe magumu
Sisi tulioa hatutakiwi kuzikwepa familia zetu.Hii inawahusu walio oa tyuuh, kataa ndoa nyie ni mbele kwa mbele, kaa home hadi ufanane na mapazia ya dirishani kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hapo sasa, huyu mtoa mada hayuko serious.Sisi tulioa hatutakiwi kuzikwepa familia zetu.
Tunaporudi nyumbani tunatengeneza ukaribu na failia hata ukisafiri, familia inaona imepungukiwa na baba.
Sasa haupo nyumbani jumatatu mpaka juma pili, kwa wakristu familia inaenda kanisani wenyewe tu, yaani baba haupo wala hawakumisi.
Matatizo ya masikini wenye nyumba ndogo na kukosa option hayo.Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na watoto.