Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

Ukikaa home kama mfuko unasoma cash hakuna shida sana maana wife akikwambia kuna moja mbili we ni kumpa cash anamaliza mambo

Mbaya zaidi ukae nyumbani na hauna chochote mfukoni,hakuna rangi ambayo hutaiona kwa mkeo
Atakukumbusha hadi makosa yako ya utotoni, kumbe shida ni hela tu 😂😂😂😂
 
Watoto wa 20's na nyuzi zao bwana
 
Mawazo finyu kabisaaaa hayo, wewe bado si mwanaume wa kweli ndo unajifunza kukaa na wanawake, nyumbani panakalika vizur tu, Tena inatakiwa kwa wiki upate siku nzima ya kubaki na familia kwani mengi utajifunza, pia utaona uliokuwa huyaoni, kama hayawndi sawa utaelekeza nk, vinginevyo mpaka mtoto wako ukute kawekwa kwenye freezer ndo utajua huyu house girl alikuwa kichefuchefu, Kaa nyumbani utaona maajabu ya wife wako kama yapo, kama hakuna mnainjoy maisha.
 
Mtu Yuko nyumbani, mpaka anaanza kuonja Mboga!
 
Usikariri maisha mkuu.
Mi inaweza kupita wiki 2 sijapanda gari kabisa.
Nashinda nyumbani kuanzia asubuh hadi saa kumi na moja jioni ndio naenda naenda kula vyombo.
Kazi zangu zote nafanyia home. Mara nyingi nakuwa chumbani na Laptop yangu kama nahitaji utulivu au online meeting.
Sebuleni pia nakuwepo kama kazi zangu haziitaji utulivu.
Kujiajiri raha sana. Laptop yangu na simu yangu ndio ofisi yangu na mzigo unaingia na bills za home na Bar zote nalipa
 
Mkuu kama ni homebody nifanyeje sasa? Wengine hatuwezi kukaa na mkanganyiko wa watu wengi. Tunaoperate vizuri seldom, ofisi zipo nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…