Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

Mzee wa vitonga anahamasisha vijana muhudhulia sana vijiweni kuliko kuchili hom mana atakosa vicent vya Balimi.
 
Mimi nikitoka kazini tisa na nusu nakaa kwanza bar za beach MPAka jioni saa moja naenda kufungia kuku wangu
Unaenda kufungia kuku au ndege wa bwana John? [emoji3][emoji3]
 
Kweli kabisa. Ni mwezi wa pili huu nashinda tu nyumbani.
Ajabu dada wa kazi anazidi kunivutia kila siku zinavyoenda.
Qmmmq [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii inawahusu walio oa tyuuh, kataa ndoa nyie ni mbele kwa mbele, kaa home hadi ufanane na mapazia ya dirishani kwako.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na wajukuu wa baba...

1. Kama umeoa, ni rahisi kugombana na mkeo, maana fahari wawili hawakai zizi moja.

2. Ukiwa nyumbani kuna vijitabia vya mke wako vitakuboa, utagombana nae tu.

3. Mtembea bure, si sawa na mkaa bure. Huenda ukakutana na issue ya hela barabarani, mwisho wa siku ukarudi na mboga au mkate nyumbani.

4. Ukiwa unatokatoka unakuwa unamuona mkeo mpya muda wote na hivyo kudumu nae muda mrefu (mke hutakiwi kumzoea kabisa, ni hatari.

Hata kama upo off au umetoka shift ya usiku kazini, kaa kidogo home then toka ukakae na wanaume wenzio. Kuna idea utazichota kuliko kukaa kuangaliana na mkeo, mwisho wa siku mgombane.

Mwanaume amka mapema, rudi nyumbani jua limezama..ongea na mke wako mawili matatu usiku. Mrambe kidogo then lala kwa ajili ya siku inayofuata!
 
Mimi nimeongeza muda wa kufanya kazi mpaka siku 7 ... Jumamosi & jumapili naweza kuingia sehemu mida ya saa 10 ila kukaa home siwezi kabisa ...Ishu ya kuzingatia ni kulala mapema .

Niko single nakaaje home alone ,natoka baada ya salah ya alfajiri mpaka 12 jioni au 1:30 usiku.
 
Yaani familia inakukosa Juma tatu hadi jumamosi, Juma pili mkila pamoja na watoto wanakuona baba yao, unakagua makazi yako mwenyewe sioni kama ni kosa.
.Sitoki nyumbani nikiwa sina sababu ya kutoka.
 
Hii inawahusu walio oa tyuuh, kataa ndoa nyie ni mbele kwa mbele, kaa home hadi ufanane na mapazia ya dirishani kwako.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tulioa hatutakiwi kuzikwepa familia zetu.
Tunaporudi nyumbani tunatengeneza ukaribu na failia hata ukisafiri, familia inaona imepungukiwa na baba.

Sasa haupo nyumbani jumatatu mpaka juma pili, kwa wakristu familia inaenda kanisani wenyewe tu, yaani baba haupo wala hawakumisi.
 
Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na wajukuu wa baba...

1. Kama umeoa, ni rahisi kugombana na mkeo, maana fahari wawili hawakai zizi moja.

2. Ukiwa nyumbani kuna vijitabia vya mke wako vitakuboa, utagombana nae tu

3. Mtembea bure, si sawa na mkaa bure. Huenda ukakutana na issue ya hela barabarani, mwisho wa siku ukarudi na mboga au mkate nyumbani.

4. Ukiwa unatokatoka unakuwa unamuona mkeo mpya muda wote na hivyo kudumu nae muda mrefu (mke hutakiwi kumzoea kabisa, ni hatari.

Hata kama upo off au umetoka shift ya usiku kazini, kaa kidogo home then toka ukakae na wanaume wenzio. Kuna idea utazichota kuliko kukaa kuangaliana na mkeo, mwisho wa siku mgombane.

Mwanaume amka mapema, rudi nyumbani jua limezama..ongea na mke wako mawili matatu usiku. Mrambe kidogo then lala kwa ajili ya siku inayofuata!
 
Ndo hapo sasa, huyu mtoa mada hayuko serious.
 
Matatizo ya masikini wenye nyumba ndogo na kukosa option hayo.

Kuna watu wanafanya kazi nyumbani kwa miaka na hawana matatizo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…