Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

Umejenga mkuu tuanzie hapo maana mm nikipanga naweza kaa home week nzima hata getini sifiki
 
Hiyo ni kwa mwanaume masikini. "Rich dad" ni lazima uwe na muda wa kutosha kukaa na watoto wako kwaajili ya ku-shape future zao.
 
Jana nimekaa kijiweni Kuna mzee akaniita akaniomba 1000. Sina hata mazoea nae huaga nachangia tu mada za hapa na pale alafu kwa haya maeneo Mimi mgeni.
 
Basi itakuwa tofauti na nke wangu nikiwa Bize sana tunakorofishana anaona simjali anapenda akikaa na mimi tukipiga stori, necha yangu ni muongeaji huwa anafurah Sana tunapopiga stori, mke wangu namuitaga "shost leo chumvi haujaweka kabisa" hapo hakuwa namaanisha amezidisha chumvi kwa mboga basi kwake burudani.

Inategemeana na ntu na ntu kwa wengine ni sahihi kwa wengine sio sahihi, wanangu wanapenda kucheza na baba yao so siwezi kuwanyima hiyo haki yao, et kwa sababu pengine sitaonekana mwanaume shupavu
 
Ni mtizamo tuu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wengine Wana home library, Wana home computer laboratory wanaunda vitu tu.
Hapo umeongelea maisha ya kiswahili kabisa. Mtu aliekosa uhakika wa mambo yake anaokota okota Kama ndege wa mwituni.
Mleta mada Amekariri life
 
It took me 10 years to realise that as a man, never stay at home.
Go out, talk to people, make friends and create new connections.
A man's job is to face the world, take risks and embrace difficulties.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…