Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

acha hasira mkuu, hata kama mgao umekufikia kuwa mpole, sijakataa usomi wake wala uhalali wa elimu yake, hapo kama hujui kilicho andikwa kaa kimya, sio kila kitu lazima ujue, in short .... ni research kidogo tu kuwa pamoja na usomi wake wa sheria kama unavyojinasibu, he is not a legal fratenity member, ambayo ndio sifa msingi ya kisheria, ambapo lazima ule kiapo cha kazi hiyo mbele ya Jaji mkuu, basi

kwa hiyo kama hujui uliza pia, tofauti ya (legal officer) na (advocates)
 
Legal fraternity member mmojawapo ni Lissu na kila siku anapotosha umma wa watanzania!.

Kutokuwa sehemu ya jamii ya wanasheria hakupumguzii umahiri wake wa kisheria katika masuala nyeti ya mikataba.
 
Achana na JPM. Na isiwe kigezo cha yeye kupendwa na mwendazake basi ndo akizi vigezo. Swali anavyovigezo vya kua mwanasheria wa serikali. Na weka ushaidi. Mwenzio kaweka hadi website kuangalia kama HJ yupo
Ushahidi ni mimi kuishi nae Ukraine akisomea sheria hizi hizi za kimataifa.

Ushahidi mwingine aende baraza la mitihani akachukue copies za vyeti vyake au aende chuo kikuu pale mlimani aurizie faculty of law juu ya kazi zake.

Huu uzi umekuja kimajungu kutoka kwa wanasheria wa viwango duni ni sehemu ya wivu ule ule wa kitanzania na roho mbaya zetu.
 
wewe wasema, sijasema hilo na wala sijaandika hilo, nimefuata kujua tu niliyemuona akituelezea habari ya yeye uhusika wake, basi. na ndiye ninayemjua so far, wengine unawajua wewe
 
Legal fraternity member mmojawapo ni Lissu na kila siku anapotosha umma wa watanzania!.

Kutokuwa sehemu ya jamii ya wanasheria hakupumguzii umahiri wake wa kisheria katika masuala nyeti ya mikataba.
Lissu kapotosha kitu gani?Lissu ni gwiji wa sheria za mikataba ya kimataifa siyo huyo ndugu Johari kawekwa kisanii!
 
Lissu kapotosha kitu gani?Lissu ni gwiji wa sheria za mikataba ya kimataifa siyo huyo ndugu Johari kawekwa kisanii!
Hana ugwiji wowote, anawalisha matango pori wananchi. Ni mwanasheria wa CHADEMA ambacho ni chama kimeamua kuwa upande mmoja na Kenya, maadui zetu kwenye biashara ya bandari.
 
Post moja unajibu Mara kumi
 
Legal fraternity member mmojawapo ni Lissu na kila siku anapotosha umma wa watanzania!.

Kutokuwa sehemu ya jamii ya wanasheria hakupumguzii umahiri wake wa kisheria katika masuala nyeti ya mikataba.
Huelewei unachosema
 
Huelewei unachosema
Hamza ni corporate lawyer ambaye ameshiriki kwenye mikataba mingi ya awamu ya tano na hii ya sita.

Ana uzoefu wa masuala ya majadiliano ya mikataba. Sio legal officer kama mleta mada anavyojaribu kumuongelea.
 
Hapo namba Tano hapo[emoji115][emoji28][emoji28]

Yaani bandari zao huko Zanzibar hawataki ziguswe. Ila za Tanganyika tu.

Sasa just imagine hao DPW wanaanza kanzi kibabe(kwa jeuri ya watawala). Halafu wagawe labda tuseme faida(sidhani kama itakuwepo, labda).

Katika hio faida au Hela ya DPW serikali ya Zanzibar watapewa gawio lao, [emoji28](kwakuwa hawana chanzo Cha maana Cha kiuchumi)

Yaani shida na tabu waipate watanganyika Hela au faida mtagawana nao, kudadadeki MUUNGANO wa ajabu huu.

Anyway SERIKALI TATU ndio suluhisho au Kila upande upande upambane na Hali yake.

BRING BACK TANGANYIKA
 
Hii inchi hakuna heshima ya taaluma yoyote ile. Tungekuwa tunaheshimu taaluma, maendeleo yangekuwa mbali sana. Serikali ndiyo ya kwanza kutoheshimu taaluma

Shida ni moja tu, taaluma zina matter only zinapo support agenda ya chama kikuu. Zikianza kupinga zinakuwa ignored, black painted, hata kudharaulika.
Bad news ni kwamba chama husika kinatumia class 7 to do that dirty job
 
Johari ndio surname au first name yake?

Manake tumezoea Johari ni jina la kike (unless kama kwa Hamza ni la kiume).

Kama Johari ni la kike halafu Hamza analitumia kama surname basi kutakuwa na shida mahali.

Haiwezekani Hamza atumie jina la kike kama jina la baba yake (surname).
 
10 %
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…