MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 631
- 1,263
Shida kubwa mliowana wote watoto ndio tatizo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika hiyo ni ndoa!? Maana kuna watu mmnasogezana tu!!Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani
Endapo
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lkn hamna suruhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa...
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamna
Kitu kidogo lazima mgombane japo sio ngum
Kwenu kwa mwezi mnaweza cheka labda siku 5 tu zingine zote hamuongei pamoja..mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie
Kuna watu wakizaa pamoja tu wanajiita wanandoa kumbe wazinzi tu!!Shida kubwa mliowana wote watoto ndio tatizo pia
Kujipa muda na kujaribu kukaa mbali ndio point ya msingi. Kuna wanandoa wengi wa kizazi hiki walipeana talaka na kugawana mali lakini baadae waligundua kuwa bado wanahitajiana.Jipeni break kaeni mbali mbali kwa muda hata miezi mitatu. Au kama vipi achaneni tu maana hakuna kitu hapo
Na mkiwa mbali ni rahisi kuongea, na kama mnapendana mtasolve tuKujipa muda na kujaribu kukaa mbali ndio point ya msingi. Kuna wanandoa wengi wa kizazi hiki walipeana talaka na kugawana mali lakini baadae waligundua kuwa bado wanahitajiana.
Usijipe mwoyo kwamba eti vumilia ni kipindi cha mapito, wala sio Mtu mzima habadiliki kirahisi hiyo ndo itakua hali yenu ya ndoa mda wote, isipo kua kipindi cha high na low season kulingana na mazingira yenu, "kama unataka kudumu kwenye ndoa yako ni lazima uwe tayari kuivuja hiyo ndoa yako mda wowote"...........maisha ndo haya haya kwanini upoteze mda wako ambalo alikufundishwa utaratibu kwaoEwe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani
Endapo
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lkn hamna suruhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa...
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamna
Kitu kidogo lazima mgombane japo sio ngum
Kwenu kwa mwezi mnaweza cheka labda siku 5 tu zingine zote hamuongei pamoja..mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie
Ni kweli kabisa. Na watu wanaachana wakiwa wanapendana. Ikitokea wakaanzisha mahusiano mengine wanarudi kuwa wapasha viporo wakuuNa mkiwa mbali ni rahisi kuongea, na kama mnapendana mtasolve tu
Kuna wakati ndoa inakosaga mwelekeo, tulia tu.Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo.
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa.
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamnaKitu kidogo lazima mgombane japo sio ngum.
Kwenu kwa mwezi mnaweza cheka labda siku 5 tu zingine zote hamuongei pamoja..mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie.
Sasa hao Watoto kwenye Mazingira kama hayo unawakuzaje!? Achaa ufalaa piga chini kila Mtu akaishi kivyake! Si mmeshagawana hadi vitanda,Sasa mnasubiri nini!?Unakua unavumilia kumbuka mna watoto
uLIAnzAvIZuRimwiShONiuMEHARiBuJipeni break kaeni mbali mbali kwa muda hata miezi mitatu. Au kama vipi achaneni tu maana hakuna kitu hapo
Jipeni break kaeni mbali mbali kwa muda hata miezi mitatu. Au kama vipi achaneni tu maana hakuna kitu hapo
Ndo akili yangu inavyofanya kazi🤣uLIAnzAvIZuRimwiShONiuMEHARiBu
Litakuwa ndo majibu ya separation yenu. Means hamfai kuwa pamojaBreki ya miezi mitatu mkirudiana mmoja ana mimba mwingine ana HIV [emoji851]