Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

Mfano, earbuds za Sony wf1000-xm4 ninazotumia, kuna feature ifuatayo[emoji116].

Yaani unasikiliza mziki (with noise Cancellation on), halafu endapo mtu akikuongelesha halafu wewe ukamjibu (wewe ukaongea), zina pause mziki automatically, zinaenda kwenye transparency mode(zina turn off noice Cancellation kwa muda,so unakuwa unamsikia anayekuongelesha) then ukimaliza kuongea zinaturn on Noise Cancellation na zinaendelea kupiga mziki palepale ulipoishia.

Sasa vitu kama hivi ni moja ya sababu inafanya ulipe laki 8 au 1mil kwenye earbuds.

Hizi za laki 1 haziwezi kufanya vitu kama hivyo.
 
Uwezekano huo upo kabisa, frequency responce zinatofautiana sana ,
Kuna speaker zinarespond vizuri kwa kila frequency . Lakini pia inategemea na amplifier ya simu au walkman husika simu za lg samsung au baadhi ya zte zina amp nzuri.
Asante kwa ufafanuzi
 
Hio noise cancellation ni nzuri sana,pia inasaidia kuondoa sauti za nje kuingilia mziki kwahio unaweza kusikiliza kwa sauti ya kawaida isiyoua masikio,maana kwa hizi headphone zingine itakubidi upandishe sauti ya mziki iwe kubwa ili usisikie kelele za nje
 
Exactly mkuu
 
mfano apple wameweka feature ya interigent control kwenye earpod zao mpya za mwaka huu,yaani ina regurate sauti kulingana na mazingira.huna haja ya kupunguza na kuongeza sauti.

ukiingia mashineni tu inapeleka sauti mpaka mwisho maana kuna kelele.
 
Ndi maana bei zipo juu,ila ni nzuri hio
 
Ndi maana bei zipo juu,ila ni nzuri hio
Bei juu si kwamba tech bali pia unanunua na jina ,apple products by deafult ni ghali
Kuna earphone zina beiya kawaida tu, na zipo loaded with featueres .
Lakini pia kuna audiophile approved earphones, hizi ni zile zinazoplay top quality music with full frequency responce , cha ajabu apple earphones pamoja na kuwa ni ghali sijaona zikiwa recomended na watu wa audiophile,
 
OK kumbe hilo nalo lipo,kwahio cha msingi ni kuangalia features muhimu
 
Sony wf 1000xm4 ni audiphile aproved earbuds , mie nazisubiri zipoe kwanza bei , maana ni za moto bei
Ila ukipata wasaa jaribu akg nc400 kutoka harman , au jabra elite 75t, these are cheap , audiophile recommended earbuds and they rock!
 
Jabra nimesikia zinasifiwa sana na Reviewers wa huko mbele... hivi kumbe Bongo zipo?
 
Bro muziki unaujua!!!
Niliwahi kuupemda muziki fulani wa 90's Rnb kwa miaka mingi tu , ukawa ni top kwenye playlist yangu, sasa kuna siku nikapata headphone za kibabe , asee muziki ule ule niliuona mpya na nikazidi kuupenda .,toka hapo nikaanza kupenda headphones za gharama.
 
ukatoa na 5 stars kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…