Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

Kama unahitaji MP3 music player ambayo inaboost sound pamoja na bass download hii Poweramp ni nzuri Sana ina Kila Aina ya option utakuja kunishukuru kuna ya free trial na ya kulipia free trial ni 1month
 
Kama unahitaji MP3 music player ambayo inaboost sound pamoja na bass download hii Poweramp ni nzuri Sana ina Kila Aina ya option utakuja kunishukuru kuna ya free trial na ya kulipia free trial ni 1monthView attachment 2368528
Asante,ngoja tuijaribu ila tatizo kama sio mtaalam hutajua unabance sound kwa kiwango gani katika vidude tofauti tofauti
 
Asante,ngoja tuijaribu ila tatizo kama sio mtaalam hutajua unabance sound kwa kiwango gani katika vidude tofauti tofauti
Iyo yangu nimeijaza bass na kuboost saut kidogo kama Una headphones zenye bas tumia iyo kama Una headphones au earphones zinazoa stereo na bass kidogo haifai
 
Kama unahitaji MP3 music player ambayo inaboost sound pamoja na bass download hii Poweramp ni nzuri Sana ina Kila Aina ya option utakuja kunishukuru kuna ya free trial na ya kulipia free trial ni 1monthView attachment 2368528
Yah power amp ipo vizuri, ina option nyingi nzuri, kuna ile option ya crossfade, mziki kabla haujaisha, unasikia track nyingine kwa mbali inalia,
 
Pia kuna equalizer inaitwa wavelet nayo ipo vizuri, unachagua preset za headphones/Earphones za brand kubwa kama sony, Sennheiser n.k, sound quality inakua nzuri balaa
 
Shkamoo mzungu
 
mfano apple wameweka feature ya interigent control kwenye earpod zao mpya za mwaka huu,yaani ina regurate sauti kulingana na mazingira.huna haja ya kupunguza na kuongeza sauti.

ukiingia mashineni tu inapeleka sauti mpaka mwisho maana kuna kelele.
Anakuja mtu anasema China kwa tec wapo juu, hawa wamarekani ni namba nyingine. Wachina watakuja kucopy as usual.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…