Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
- Thread starter
- #21
Kanisa lolote lile lazima wakuulizeKwaiyo ninyi kanisan kwenu mkitaka kufunga ndoa mnaulizwa kama mlishawai kubanduana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa lolote lile lazima wakuulizeKwaiyo ninyi kanisan kwenu mkitaka kufunga ndoa mnaulizwa kama mlishawai kubanduana?
ivi tofauti ya haya manenoKuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kamwe usioe mwanamke ambae tayari umeshazini nae, akadai ukioa mwanamke uliyezini nae basi ndoa yenu haitakua na amani ya kudumu, kila mara mtakua ni watu wa kukwaruzana tu.
Inawezekana maneno ya mzee yule yakawa na kaukweli fulani.
Ni sawa lakini wanasahau kwamba kujamiana kumebeba utu wa mtu ...ndio maana waswahili wakasema kuingiliana kimwili Yani mnakua mwili mmoja na tunda linalopatikana hapo ni watoto ambao wamechanganyika kwa vinasaba vyenuSiku hizi kila mmoja anataka kuonekana kaoa au kaolewa ndio maana sherehe za ilo tukio ni muhimu sana.
Nasisitiza oa/olewa na rafiki yako
Kuoa na kufunga ndoa ni kitu kimoja ambapo wapenzi ambao bado hawajakutana kimwili wanatakasa miili yao kwajili ya maisha ya mume na mkeivi tofauti ya haya maneno
kuoa
kufunga ndoa
kubariki ndoa
ni ipi?
Umenena kitaalamu sanaNi sawa lakini wanasahau kwamba kujamiana kumebeba utu wa mtu ...ndio maana waswahili wakasema kuingiliana kimwili Yani mnakua mwili mmoja na tunda linalopatikana hapo ni watoto ambao wamechanganyika kwa vinasaba vyenu
Narudia kujamiana ni tendo la heshima Sana maana ni Mungu mwenyewe alisema tuzaliane tuijaze dunia
Kuoa na kufunga ndoa ni kitu kimoja ambapo wapenzi ambao bado hawajakutana kimwili wanatakasa miili yao kwajili ya maisha ya mume na mke
Kubariki ndoa ni kwajili ya kuwapa nafasi wazinzi kutubu na kujutia makosa yao na kutakasa miili yao kwa maisha ya ndoa
Siyo kweli 90% ya wanandoa wamefumuana kabla kufunga ndoaKuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kamwe usioe mwanamke ambae tayari umeshazini nae, akadai ukioa mwanamke uliyezini nae basi ndoa yenu haitakua na amani ya kudumu, kila mara mtakua ni watu wa kukwaruzana tu.
Inawezekana maneno ya mzee yule yakawa na kaukweli fulani.
Sijaekewa, ukifunga ndoa ya serikali, baadae unabariki ili utambulike kiroho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa Tz Kuna ndoa za kiserikali,kidini na kimilaSijaekewa, ukifunga ndoa ya serikali, baadae unabariki ili utambulike kiroho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo [emoji16]Nimechukua miaka miwili kuchunguza hili Jambo, kwanini ndoa za siku hizi hazidumu na zimesongwa na milima mingi na mabonde kuliko tambarare. Kila mara watu wanatumia nguvu nyingi kuendesha mahusiano yaliyokufa ndani ya nafsi japo Yana heshima kubwa mbele ya macho ya watu.
Baada ya uchunguzi nimegundua ndoa nyingi zinazofungwa makanisani na misikitini zilitakiwa zibarikiwe tu na sio kufungwa Kama ndoa takatifu maana ndoa hizo zilishafungwa tayari na wapendanao.
Athari za kufunga ndoa iliyotakiwa kubarikiwa
1) Ulinzi, baraka na ahadi za Mungu juu ya ndoa hupotea na kamwe hautakuepo mpaka mtubu dhambi ya uzinzi juu yenu.
2) Kufa kwa ndoa husika maana mshahara wa dhambi ni mauti na Mungu kamwe hadhihakiwi.
HITIMISHO
Usiende mbele za Mungu kuoa au kuolewa na mpenzi ulieshiriki nae tendo la ndoa kabla ya ndoa Bali mbariki hiyo ndoa kwa kuomba toba ya msamaha ili Mungu afanye Jambo jipya ya kale yatapita na tazama yatakuwa mapya.
That mzee was projecting his fears on youKuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kamwe usioe mwanamke ambae tayari umeshazini nae, akadai ukioa mwanamke uliyezini nae basi ndoa yenu haitakua na amani ya kudumu, kila mara mtakua ni watu wa kukwaruzana tu.
Inawezekana maneno ya mzee yule yakawa na kaukweli fulani.
Kubariki maana yake mmeshaishi pamoja kama mke na mume.Kufunga ndoa maana yake hamjashiriki ngono kati yenu,wakati mmeshashiriki hiyo ndio laan,a mnayoibeba maana mnakiri mathabahuni kuwa ni ndoa takatifu. Ni jambo la kutisha sanaKwani kubariki na kufunga ndoa kuna tofauti gani vile? Na ni kwa mujibu upi tunatengeneza hizi definition?
Ichukue
Ukitaka uishi na mwanamke wako mda mrefNimechukua miaka miwili kuchunguza hili Jambo, kwanini ndoa za siku hizi hazidumu na zimesongwa na milima mingi na mabonde kuliko tambarare. Kila mara watu wanatumia nguvu nyingi kuendesha mahusiano yaliyokufa ndani ya nafsi japo Yana heshima kubwa mbele ya macho ya watu.