Ni heri kubariki ndoa kuliko kufunga harusi

ivi tofauti ya haya maneno

kuoa
kufunga ndoa
kubariki ndoa


ni ipi?
 
Siku hizi kila mmoja anataka kuonekana kaoa au kaolewa ndio maana sherehe za ilo tukio ni muhimu sana.

Nasisitiza oa/olewa na rafiki yako
Ni sawa lakini wanasahau kwamba kujamiana kumebeba utu wa mtu ...ndio maana waswahili wakasema kuingiliana kimwili Yani mnakua mwili mmoja na tunda linalopatikana hapo ni watoto ambao wamechanganyika kwa vinasaba vyenu
Narudia kujamiana ni tendo la heshima Sana maana ni Mungu mwenyewe alisema tuzaliane tuijaze dunia
ivi tofauti ya haya maneno

kuoa
kufunga ndoa
kubariki ndoa


ni ipi?
Kuoa na kufunga ndoa ni kitu kimoja ambapo wapenzi ambao bado hawajakutana kimwili wanatakasa miili yao kwajili ya maisha ya mume na mke
Kubariki ndoa ni kwajili ya kuwapa nafasi wazinzi kutubu na kujutia makosa yao na kutakasa miili yao kwa maisha ya ndoa
 
Umenena kitaalamu sana
 
Siyo kweli 90% ya wanandoa wamefumuana kabla kufunga ndoa
 
Ndgu ni kweli tupu, mi sikujuaga kumbe wale wanaoenda kufunga ndoa huwa wanasema kua hawajawahi kujigijigi??

Aisee em barikini ndoa acheni kumdanganya Muumba
 
Ndgu ni kweli tupu, mi sikujuaga kumbe wale wanaoenda kufunga ndoa huwa wanasema kua hawajawahi kujigijigi??

Aisee em barikini ndoa acheni kumdanganya Muumba
 
Ndgu ni kweli tupu, mi sikujuaga kumbe wale wanaoenda kufunga ndoa huwa wanasema kua hawajawahi kujigijigi??

Aisee em barikini ndoa acheni kumdanganya Muumba
 
Acha uongo [emoji16]
 
...una maana gani...
Ukibariki ndoa cheti mnachopewa ni tofauti na cheti wanchopewa maharusi..?

Ndoa ni ndoa tu haijalishi mlifanya tafrija kubwa au ndogo kiasi gani
 
Kwani kubariki na kufunga ndoa kuna tofauti gani vile? Na ni kwa mujibu upi tunatengeneza hizi definition?
Kubariki maana yake mmeshaishi pamoja kama mke na mume.Kufunga ndoa maana yake hamjashiriki ngono kati yenu,wakati mmeshashiriki hiyo ndio laan,a mnayoibeba maana mnakiri mathabahuni kuwa ni ndoa takatifu. Ni jambo la kutisha sana
 
Ukitaka uishi na mwanamke wako mda mref

1.mzalishe
2.ishi nae kama mke na mume
3.ila usimuoe

Aisee mtaish kwa amani sanaaaa... My observation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…