Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
- Thread starter
-
- #41
Mkuu hatuongelei vyeti vya ndoa ..tunaongelea jinsi ya utaratibu ndoa hufungwa kwa wapenzi ambao bado hawajakutana kimwili na kubariki ni kwaajili ya wazinzi kutubu na kuapa kutorudia Tena utovu wa nidhamu kwa Mungu...una maana gani...
Ukibariki ndoa cheti mnachopewa ni tofauti na cheti wanchopewa maharusi..?
Ndoa ni ndoa tu haijalishi mlifanya tafrija kubwa au ndogo kiasi gani
3. Weka mbariki ndoa ....Mungu huwa anathamini Sana mwana mpotevu anarudi kwake baada ya kugundua kakosea na kuona yeye anaumuhimuUkitaka uishi na mwanamke wako mda mref
1.mzalishe
2.ishi nae kama mke na mume
3.ila usimuoe
Aisee mtaish kwa amani sanaaaa... My observation
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kiimani huo ndio ukweli mchungu , Ndoa nyingi Mungu hazitambui kabisa na Hana mpango nazo ndio maana shida na majanga hayawaishiHaya mambo yako kiimani zaidi, na si kila mtu ana hizo imani.
Wengine hufunga za kimila/kiserikali na huwa na amani zaidi kuliko hao wanafunga "NDOA TAKATIFU
Namkumbuka aliyewahi kuwa Askofu wa Mwanza, Mayala (R.I.P) alikuwa anapenda kusema mara kwa mara kuwa, hakuna kitu kinachoitwa "KUBARIKI NDOA", kwa wapenzi waliokuwa wanaishi pamoja, bila kujali wameishi miaka mingapi, kama hao wenza walikuwa hawakufunga ndoa!Ni sawa lakini wanasahau kwamba kujamiana kumebeba utu wa mtu ...ndio maana waswahili wakasema kuingiliana kimwili Yani mnakua mwili mmoja na tunda linalopatikana hapo ni watoto ambao wamechanganyika kwa vinasaba vyenu
Narudia kujamiana ni tendo la heshima Sana maana ni Mungu mwenyewe alisema tuzaliane tuijaze dunia
Kuoa na kufunga ndoa ni kitu kimoja ambapo wapenzi ambao bado hawajakutana kimwili wanatakasa miili yao kwajili ya maisha ya mume na mke
Kubariki ndoa ni kwajili ya kuwapa nafasi wazinzi kutubu na kujutia makosa yao na kutakasa miili yao kwa maisha ya ndoa
Si kweli, majanga yako kote kote tena hizo TAKATIFU zinazofungwa kwa mbwembwe ndo zimezidi shuhuda ninazo.Ila kiimani huo ndio ukweli mchungu , Ndoa nyingi Mungu hazitambui kabisa na Hana mpango nazo ndio maana shida na majanga hayawaishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ndio hivyo, hamna ndoa itakayofungwa nchi hii, [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] , ni mwendo wa kubariki tu
Oooooh ahsante kwa somo.KUFUNGA NDOA ni kwa wachumba ambao bado hawaja shiriki tendo la ndoa ( hata Kama kila mmoja alikua na watoto sehemu nyingine ila walipatikana Bila ndoa takatifu)
Kubariki ndoa ni kwa wachumba walioshiriki teali tendo la ndoa hata Kama hawana watoto au wanao watoto.
Swali ni je walioishi kama mke na mme kabla.hiz dini kuja wao Mungu anawachukuliaje?Ila kiimani huo ndio ukweli mchungu , Ndoa nyingi Mungu hazitambui kabisa na Hana mpango nazo ndio maana shida na majanga hayawaishi
Kubariki ndoa ni kitendo Cha kutubu na kujutia dhambi ya uzinzi na kumsihi Mungu wape neema na rehema ......biblia inasema aungamaye dhambi zake na kuziacha huyo atamuona Mungu@saintmwakyoma kubariki ndoa n ktabu gan ktka biblia
Mmmh!!??Kubariki ndoa ni kitendo Cha kutubu na kujutia dhambi ya uzinzi na kumsihi Mungu wape neema na rehema ......biblia inasema aungamaye dhambi zake na kuziacha huyo atamuona Mungu
Nitakuletea majibu mkuu just waitNauliza.... wapi kwenye biblia imeagizwa ndoa ili iwe halali lazima mfungishwe na kiongozi wa dini? Maana naona Yakobo alilipa mahari tu akabeba mke na kule Kana ilikuwa harusi yaan sherehe
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mzee unaongea kwa uchunguzi sanaKufunga ndoa ni upompompo, dem ashasex na youtong tano jsmaa wanakusanifu mmekaa pale mbele
Bado nasubiri mtakatifu MwakyomaNitakuletea majibu mkuu just wait
Waschana wetu hawa shida tuMzee unaongea kwa uchunguzi sana