Ni Heri wazungumziao Mipira kila siku (wanajadili wanachokijua) kuliko kufanya uchambuzi wa Mapatishi ya Wanasiasa...

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili?
  • Blah blah zinazotemwa na wanasiasa ndio tuzijadili ukizingatia hakuna Uwazi na ni mwendo wa propaganda mwanzo mwisho, ni kama kuku anatupiwa pumba kutoka kwenye debe ambalo hajui tonge linalofuata kama lina virutubisho au ni makapi ?
  • Au tuongelee tunachokiona ambacho kina uwazi na tunajua nini ndio nini na matokeo yake yanaonekana punde kwahio kuhakiki tulichokuwa tunakisema hivyo kundelea na mijadala au kusubiri next fix (pambano jingine) hivyo kujipunguzia stress?
Nadhani wa kulaumiwa zaidi ni Media ambazo zimegeuka propaganda machines ambazo haziaminiki wala kufanya uchambuzi, hivyo kushindwa kuwapakulia wana jamii cha kuweza kujadili (Tuliona suala la Bandari, tuliona mambo ya kuteka, n.k. yakitupwa uwanjani watu watajadili); Hivyo sio kweli kwamba watu hawawezi kujadili mengine

c.c Pascal Mayalla

First tupate katiba itakayo restrict/limit power ya baadhi ya taasisi. Kwamfano media zime mute kwenye mambo ya msingi kwakuwa they are persecuted whenever they raise alarms.

Literally in TZ (and most Africans states) checks and balances do not exsist. Kuna kikundi cha watu wao walishajiona miungu watu na wanaeza fanya chochote chenye wanataka.

Tusijadili mipira, tujadili siasa hii ndio inashikilia mustakabali wa maisha yetu na vizazi vyetu, hayo ya mpira yawe part time.

Tuwaelimishe wanaopenda kutoa kauli za "katiba mpya haitaniletea ugali mezani".
 
Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili?
  • Blah blah zinazotemwa na wanasiasa ndio tuzijadili ukizingatia hakuna Uwazi na ni mwendo wa propaganda mwanzo mwisho, ni kama kuku anatupiwa pumba kutoka kwenye debe ambalo hajui tonge linalofuata kama lina virutubisho au ni makapi ?
  • Au tuongelee tunachokiona ambacho kina uwazi na tunajua nini ndio nini na matokeo yake yanaonekana punde kwahio kuhakiki tulichokuwa tunakisema hivyo kundelea na mijadala au kusubiri next fix (pambano jingine) hivyo kujipunguzia stress?
Nadhani wa kulaumiwa zaidi ni Media ambazo zimegeuka propaganda machines ambazo haziaminiki wala kufanya uchambuzi, hivyo kushindwa kuwapakulia wana jamii cha kuweza kujadili (Tuliona suala la Bandari, tuliona mambo ya kuteka, n.k. yakitupwa uwanjani watu watajadili); Hivyo sio kweli kwamba watu hawawezi kujadili mengine

c.c Pascal Mayalla

Kweli aisee

Hasa wale mandojo na domokaya
 
First tupate katiba itakayo restrict/limit power ya baadhi ya taasisi. Kwamfano media zime mute kwenye mambo ya msingi kwakuwa they are persecuted whenever they raise alarms.
Ndio maana nilisema hapa tusiwategemee wanasiasa bali tuwe na Taasisi ya Habari ambayo Inalindwa Kikatiba na ina uwezo wa kuhoji Mwanasiasa yoyote kuhusu chochote wakati wowote (after all be it Upinzani au Chama Tawala wanakula Kodi zetu) hivyo wana mandate ya kuwa na Uwazi

Literally in TZ (and most Africans states) checks and balances do not exsist. Kuna kikundi cha watu wao walishajiona miungu watu na wanaeza fanya chochote chenye wanataka.
Naam hio ni sehemu nyingi Duniani hata USA ambayo tulidhani ipo safe na mambo kama hayo kutokana na Taasisi zao ila leo ndio hivyo Trump is proving us otherwise... (lakini hii itakuja na knowledge watu wakielewa) watakuwa wanapush against upuuzi wowote ndio hapo tena Taasisi ya habari inaweza kuelewesha na kuelimisha
Tusijadili mipira, tujadili siasa hii ndio inashikilia mustakabali wa maisha yetu na vizazi vyetu,
Tutajadili tusichokijua ? Leo hii bila transparency tutakuwa tunajadli propaganda na chochote tunachotengewa mezani (sababu sidhani kama kujadili Wasira au Mbowe na Lisu ni kujadili Siasa bali ni kujadili watu katika perception ya anayetaka kumchafua au kumremba mtu) by that token ni bora tukajadili tactics na ni nani zaidi au kwanini jana tulifungwa (we have all the cards)...

hayo ya mpira yawe part time.

Tuwaelimishe wanaopenda kutoa kauli za "katiba mpya haitaniletea ugali mezani".
Shukuru mipira hio ndio escape of the mass kama vile alivyosema kwa Karl kuhusu religion being the Opium of the Mass, kwahio kama wanasiasa hususan wapinzani ambao wanataka kuchukua Dola; wameshindwa ku simply the message na kufanya message hio iwafikie watu na kuelewa basi walioshindwa kazi yao sio watu ambao wana hassle na maisha yao bali ni hao wanasiasa kushindwa kufikisha message...

That saidi mapinduzi yatakuja sio sababu ya wanasiasa bali sababu maisha yanazidi kuwa magumu na watu watafika point of no return...., lakini ni for betterment tusifike huko sababu huwa mkishatoka kwenye reli kurudi huenda msirudi kamwe....
 
Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili?
  • Blah blah zinazotemwa na wanasiasa ndio tuzijadili ukizingatia hakuna Uwazi na ni mwendo wa propaganda mwanzo mwisho, ni kama kuku anatupiwa pumba kutoka kwenye debe ambalo hajui tonge linalofuata kama lina virutubisho au ni makapi ?
  • Au tuongelee tunachokiona ambacho kina uwazi na tunajua nini ndio nini na matokeo yake yanaonekana punde kwahio kuhakiki tulichokuwa tunakisema hivyo kundelea na mijadala au kusubiri next fix (pambano jingine) hivyo kujipunguzia stress?
Nadhani wa kulaumiwa zaidi ni Media ambazo zimegeuka propaganda machines ambazo haziaminiki wala kufanya uchambuzi, hivyo kushindwa kuwapakulia wana jamii cha kuweza kujadili (Tuliona suala la Bandari, tuliona mambo ya kuteka, n.k. yakitupwa uwanjani watu watajadili); Hivyo sio kweli kwamba watu hawawezi kujadili mengine

c.c Pascal Mayalla

Mkuu nani atazungumzia jambo ambalo kimsingi atapoteza redio au hata UHAI wake,au pengine atekwe na kuteswa au akiachiwa awe anafuatiliwa kisirisiri na wasiojulikana.Waacheni watanzania na ujinga wao matatizo yao pekee yanawanyosha.
 
Na afadhali mpira umeondoa Ile tabia ya watanzania kufuata upepo wa matukio.Japo timu zenyewe hazieleweki wacha tuzijadili kuliko kujadili makubdi ya wanafiki.
 
Kamtindo kakutimua makocha wanapofanya vibaya kangekuwepo kwenye siasa ingekuwa Raha sana
 
Mkuu nani atazungumzia jambo ambalo kimsingi atapoteza redio au hata UHAI wake,au pengine atekwe na kuteswa au akiachiwa awe anafuatiliwa kisirisiri na wasiojulikana.
Kwa Point hii nimesema wawepo waandishi na Taasisi ya Uandishi inayolindwa Kikatiba na kupewa nguvu zote pamoja na wanasiasa wote kulazimisha kushirikiana na hawa watu ili kuleta UWAZI

Waacheni watanzania na ujinga wao matatizo yao pekee yanawanyosha.
Ukiangalia Uzi wangu unasema bora hao wanaoongelea Mpira wanongelea kitu wanachokielewa kabisa na kina Uwazi sababu hata wakitaka kuongelea Siasa sasa hivi watakuwa sio kwamba wanaongelea issues bali propaganda na kile ambacho wanatupiwa wakiongelee...
 
Kwa Point hii nimesema wawepo waandishi na Taasisi ya Uandishi inayolindwa Kikatiba na kupewa nguvu zote pamoja na wanasiasa wote kulazimisha kushirikiana na hawa watu ili kuleta UWAZI

Ukiangalia Uzi wangu unasema bora hao wanaoongelea Mpira wanongelea kitu wanachokielewa kabisa na kina Uwazi sababu hata wakitaka kuongelea Siasa sasa hivi watakuwa sio kwamba wanaongelea issues bali propaganda na kile ambacho wanatupiwa wakiongelee...
Tupo pamoja mkuu ni kukazia kulikojaa uchungu tu.Ila kama sio aids na mimba ningewashauri wajiburudishe kwa ngono tu.(watanzania)kuliko kufuatilia jamii zenye siasa na uongozi wa hovyo la za NCHI hii Nb:slaw wilbroad Yu wapi sasa au kiss lake ni kubwa kiasi GANI.?tupo pamoja
 
nashindwa kuelewa wanacholalamikia hawa jamaa, ikiwa radio zinachambua mpira, na wafuasi na waskilizaji wa radio zao wanafurahia vipindi vyao, sasa hao wanaolalamika tatizo lao ni nnini? si waanzishe redio zao wachambue huo uchumi na siasa
 
Au watafute mbinu ya wanachokiongelea kiwe entertaining; mwisho wa siku wao hizo ni kazi zao na tunawalipa (sio wapinzani au chama tawala) wote wanachukua Ruzuku....

Back
Top Bottom