Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili?
c.c Pascal Mayalla
www.jamiiforums.com
- Blah blah zinazotemwa na wanasiasa ndio tuzijadili ukizingatia hakuna Uwazi na ni mwendo wa propaganda mwanzo mwisho, ni kama kuku anatupiwa pumba kutoka kwenye debe ambalo hajui tonge linalofuata kama lina virutubisho au ni makapi ?
- Au tuongelee tunachokiona ambacho kina uwazi na tunajua nini ndio nini na matokeo yake yanaonekana punde kwahio kuhakiki tulichokuwa tunakisema hivyo kundelea na mijadala au kusubiri next fix (pambano jingine) hivyo kujipunguzia stress?
c.c Pascal Mayalla
Je, tutegemee wapinzani kuibua madudu ya Chama Tawala au tupate Wanahabari wazalendo wenye nguvu za Kisheria kuibuia madudu ya wanasiasa
Tumetukuwa tukitegemea Vyama vya Upinzani kuibua Madudu ya Chama Tawala; Binafsi naamini kwamba Vyama ni Muunganiko wa Watu wenye Mawazo yanayofanana ya jinsi gani tunaweza kutoka hapa na kufika pale..... Kama tunakwenda mjini wengine wanaweza kuamini tutembee kwa miguu ili tujenge Afya na...