Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba zile pesa zinakwenda kuboresha Klabusawa basi afanye kwenda extra mile; afanye jambo moja tu la maana litakalo mfanya aishi ndani ya mioyo ya akina mama na watoto wa Tanzania wakati wote; kila mama anayejifungua ampe laki moja tu kama "hongera" badala ya kuzimwaga kwa wacheza mpira ambao tayari ni matajiri;
Chanjo zote kwa ujumla, kuna kipindi kulikuwa na uhaba ila sasa hivi angalau hali imeanza kutengemaaYa Corona?
Bila kusahau;rushwa kiukweli wamejipanga vizuri katika hilo
Kama zinatolewa na serikali basi wamejitahidi. Maana Zana zipo kila sehemu, kuambukizwa ngoma utake mwenyewe tuKondom za bure.. ukiingia ktk vyoo unazikuta za kutosha..
Wewe.Haipo nakerwa na ving'ora yao hasa nikiwa kwenye foleni, naona wanaruka ruka tu kama watoto wa vyura
Hapo ndio nyie mnafurahi mkuuKama zinatolewa na serikali basi wamejitahidi. Maana Zana zipo kila sehemu, kuambukizwa ngoma utake mwenyewe tu
DaahNafurahia vichekesho vyao vya Tom & Jerry
Jina lako tuuShow za bure za wasanii kipindi cha uchaguzi, chumvi, tishirt za chama tawala na kofia ndio nafurahia
Tayari ushachanjwaChanjo😷
Muulize alichanjwa wapi au sehemu gani ya mwiliTayari ushachanjwa