Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

sawa basi afanye kwenda extra mile; afanye jambo moja tu la maana litakalo mfanya aishi ndani ya mioyo ya akina mama na watoto wa Tanzania wakati wote; kila mama anayejifungua ampe laki moja tu kama "hongera" badala ya kuzimwaga kwa wacheza mpira ambao tayari ni matajiri;
Sio kwamba zile pesa zinakwenda kuboresha Klabu
 
rushwa kiukweli wamejipanga vizuri katika hilo
Bila kusahau;
/. Ufisadi
/. Kuuza rasilimali za nchi [Tanganyika]mf.Bandari,Ngorongoro,Wanyama hai n.k.
/.Kuhamisha Wamasai kwa nguvu
/.Kuwalinda vigogo waliovunja sheria wasishitakiwe
/.Kusababisha umasikini wa kiwango cha juu.
/.Kuteka na kutesa/kuua kabisa.
 
Haipo nakerwa na ving'ora yao hasa nikiwa kwenye foleni, naona wanaruka ruka tu kama watoto wa vyura
 
Back
Top Bottom