Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.

Si sawa kuna msaada kutoka [emoji115] juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?

South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.

Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
ni mpira tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Yamefika tena huku mleta mada? Udini umeingiaje tena kwenye mpira, wakati mpira unategemewa hata kwenye masuluhisho ya vita vya kijamii?!!

Au mimi ndiyo sijaelewa?!
 
Halafu wewe acha mazoea na mimi. Maana naona ulilala na kukaa unaniwaza mimi tu. Mimi siyo mjinga mjinga kama wewe na mwenye akili za kijinga kama zako.
Nakufunua tu, nakuchana chana marindah.... Ndo nlitaka ujitokeze kwa hii ID yako... Juzi sijakuona kwenye kikao. Tumia IDs zako zote nina muda kwa sasa. Nazigonga zote kwa zamu....
 
Nijibu wewe
 
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.

Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?

South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.

Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Upumbavu ni KIPAJI
 
Nakufunua tu, nakuchana chana marindah.... Ndo nlitaka ujitokeze kwa hii ID yako... Juzi sijakuona kwenye kikao. Tumia IDs zako zote nina muda kwa sasa. Nazigonga zote kwa zamu....
Kujibizana na wewe ni kupoteza muda wangu na kuonekana nami ni mjinga tu. Sitakujibu jibu jingine lolote lile. Maana mimi huwa sibishani na mtu asiyejitambua.
 
Tumia ile ID yako nyingine. Nataka niwagonge wote kwa zamu.
 
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.

Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?

South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.

Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Nilifurahishwa sana na wamorocco walipokuwa wanaswali kabla ya mpigaji penati hajagongesha mwamba.

Sasa sijui Mungu wao kazidiwa nguvu au niaje.
 
Wewe punga mbona unajilengesha sana kwangu? Si nilisha kwambia kua mimi sitafuni tope? Unajilengesha tu na ID's zako zote ila nimesha kutambua,pigwa paipu huko kweni mtoto wa zinaa wewe.
Ukisikia habari za mabwana zako waarabu lazima ubong’oe mnduku kuwatetea. Haya ushahidi huo hapo
 
Morocco walishasema kuwa wao siyo Wa African kwa hiyo watuachie ligi yetu! Waende wakacheze ASIA CUP huko QATAR bado inaendelea na Warabu wenzao.
Watuachie AFRICA CUP yetu.
Hawana jeuri ya kutoka Africa
 
Back
Top Bottom