Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?


Bro kile siyo chama. Ni saccos ya mtu. Kama unanibishia, hakuna mtu awaye yote ambaye ataweza kuwa mwenyekiti wa chama, isipokuwa mwenyekiti aliyepo atangulie mbele ya haki. Kama unabisha acha tuupe muda nafasi. Utapata jibu.
 
Mwamba Tuvushe hawana tofauti na MAGA na MATAGA. Ni vikundi vya kinazi.
 
Mbona baba Yako anaendelea kuwa baba yako kipindi kirefu kama hiki
 
Chawa Nehemia Kilave anahoji inakuaje Mbowe ang'ang'anie uenyekiti halafu kwenye thread nyingine anatetea Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti na sio Tundu Lissu.

Kweli uchawa ni kukosa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…