antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
RubbishAkili finyu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RubbishAkili finyu sana
Je, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo?
Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule.
Binafsi kama mwanachama huwa najiuza hili swali nikiuliza najibiwa akiondoka chama kinakufa, je kweli?
Je, hakuna namna ikawekwa misingi Imara kama ilivyo kwa Republican na Democratic US?
Au kuna elements za dictatorship kama
Kuamini hakuna mtu mwenye uwezo zaidi yako
Tamaa ya kuendelea kuwepo madarakani?
Kuna muda naona kama anafanya vitu ambavyo vinaipa faida sana CCM kuliko CDM naona akipumzika akawa Mlezi wa chama kinaweza songa mbele zaidi .
Mbona baba Yako anaendelea kuwa baba yako kipindi kirefu kama hikiJe, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo?
Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule.
Binafsi kama mwanachama huwa najiuza hili swali nikiuliza najibiwa akiondoka chama kinakufa, je kweli?
Je, hakuna namna ikawekwa misingi Imara kama ilivyo kwa Republican na Democratic US?
Au kuna elements za dictatorship kama
Kuamini hakuna mtu mwenye uwezo zaidi yako
Tamaa ya kuendelea kuwepo madarakani?
Kuna muda naona kama anafanya vitu ambavyo vinaipa faida sana CCM kuliko CDM naona akipumzika akawa Mlezi wa chama kinaweza songa mbele zaidi .
Familia sio chamaMbona baba Yako anaendelea kuwa baba yako kipindi kirefu kama hiki