lengo la kutaka ushauri ni kutaka kumdhibiti kabla hajaleta matatizo makubwa zaidiVyakurithi always huwa vinapitiliza mkuu, wala usihofu baada ya miaka kadhaa atakuwa mpole sana na utashangaa, huwa wanatumika kama demo(wa kutolea mfano) badae.
hafanyi nikiwepo nduguOkay ni hivi
Kil mzazi ana majukum yake kwenye malezi
Mama humfunza mtoto majukum ya ndan...usafi...!!na kazi mbali mbali
Dingi kazi yako ni kusimamia displini ndan ya nyumba...!!haitakiw akuogope....ila akikuangalia tu ajue kosa lake automatically(yan bila hata kumpiga kama ukiwa serious na malezi ya mwanao)
Pale mtoto anapoanza kutembea tu ulezi wako unaanziaga hapo...!!ndo kipindi cha kumkunja samaki...!!kumfunga paka kengele...!!
Ila kama umfikia hatua hakusikii jua umekosea mahali...!!makosa ni hapo kufanya ujinga wew ukiwepo....haaaapo
ahsante sana ndugu, ushauri wako mzuri ntautumiaParenting 101
Huyo ni mwanao chief. Kwanza mfahamiane.. inaonekana unastruggle hata kumuelewa kijana wetu.. take time mjifunze na umuelewe. Utundu wa mtoto unachimbuko jema tu.. yupo curious na wakati mwingine si kitu anaweza kukicontrol ni kazi yako kama mzazi kusaidia.
Ili muanze safari ya kusaidiana, inabidi umuelewe na umsaidie kukuelewa wewe pia. Hawa sio watoto ni watu wadogo na inexperienced... Bottom line ni watu.. tujitahidi kuwatreat kama watu. Since he is curious ..jitahidi kumsaidia kuchannel huo uwezo kwenye vitu productive.
Chonde chonde usimyime mapigo.. ila lazima kuwe na uelewa kwann anaadhibiwa.. wengine tunachapana kwa makubaliano na ikitokea amekosa kama baba lazima nimchape kama tulivyokubaliana na yeye lazima aelewe kwann amechapwa. Usimchape tu hivyo haisaidii..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nakutakia kila la kheri mkuu! Msaidizi kijana.. hao ndio wabunifu wa kesho.. Inshallah Mwenyezi Mungu Awape nafasi ya kuwa wamoja...ahsante sana ndugu, ushauri wako mzuri ntautumia
Ok sasa kwa adhabu, kuna moja niliiona kwa jamaa yangu alikuwa na mtoto wa dizain hiyo, ila yule alikuwa mtukutu sana pia.. alimuingiza kwenye gunia, akalifunga kamba kwa juu kisha akalitundika kwenye mti, akatafuta fimbo, nadhani ushaelewa kilichoendelea.. Dogo baada ya kutoka pale, kama alikuwa mafunzoni, kanyooka hata rula imepinda.lengo la kutaka ushauri ni kutaka kumdhibiti kabla hajaleta matatizo makubwa zaidi
ahsante ndugu ila umri mbona nimetaja ana miaka 5Mkuu hujasema mtoto ana miaka mingapi
Tungejua kwamba umechelewa kumnyoosha ama lah.
Lakini basi inaelekea ulimdekeza sana
Kiasi kwamba haogopi labda yaani awaze nikifanya hivi baba atakuja kunchapa
Hawazi! Anajua sracks him few stick then mumalizane basi wahi kabla hujachelewa
Zaman mtoto alikuwa ni wajamii
Kwamba Mimi nikimkuta mtoto wa mama juma anacheza barabaran namkemea ikiwezekana na bakora anapata
Ila nowadays hali imekuwa tofaut yaani gusa mtoto wa MTU uone
Hii imechangia kuwafanya watoto waone wazazi wao pekee ndo wanatakiwa kuwanyoosha.
Mlete hata mjomba au bamkubwa akae hapo hata mwezi
Mkuu hujasema mtoto ana miaka mingapi
Tungejua kwamba umechelewa kumnyoosha ama lah.
Lakini basi inaelekea ulimdekeza sana
Kiasi kwamba haogopi labda yaani awaze nikifanya hivi baba atakuja kunchapa
Hawazi! Anajua sracks him few stick then mumalizane basi wahi kabla hujachelewa
Zaman mtoto alikuwa ni wajamii
Kwamba Mimi nikimkuta mtoto wa mama juma anacheza barabaran namkemea ikiwezekana na bakora anapata
Ila nowadays hali imekuwa tofaut yaani gusa mtoto wa MTU uone
Hii imechangia kuwafanya watoto waone wazazi wao pekee ndo wanatakiwa kuwanyoosha.
Mlete hata mjomba au bamkubwa akae hapo hata mwezi
ipo hivi mkuu mwanzo sikuwahi kumkaripia hivo alipoendelea na tabia mbovu kuna rafiki yangu alinishauri kumuoneshea ukali ataogopa na kubadilika lakini tangu nimetumia ukali ndo kabisa haachi ndo maana nikataka ushauri zaidiMimi sio mzazi ila hapo uliposema wakati ukiwepo anatulia na usipokuepo unakutana na kesi kibao ndo kwenye tatizo, umemfundisha nidhamu ya uoga hata ukotoweka duniani atazidi kuumia.
Angalia mbinu unazotumia kum shape mtt wako
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru sana kwa ushauri wakoNakutakia kila la kheri mkuu! Msaidizi kijana.. hao ndio wabunifu wa kesho.. Inshallah Mwenyezi Mungu Awape nafasi ya kuwa wamoja...
Just don't dismiss him! Akija na anaonesha interest kwenye kitu chochote take a lead kutaka kujua anawaza nini na kama kuna majibu basi mpatie kama hayapo myatafute nyote.. that way uharibifu unaisha na yeye anapata kutii kiu yake ya kudadisi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
majina pia huleta tatizo?Jina labda ndo tatizo
kivipi ndugu, nieleweshe huenda nikapata suluhuSana
Habari wana JF,,
Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu.
Laiti kungekua na selo za watoto nadhani ningempeleka kwanza akatulie huko, please mwenye kujua njia nzuri ya kumkabili mtoto wa aina hii anijuze maana nahisi kuchanganyikiwa.
hafanyi nikiwepo ndugu
vifaa vya michezo vipo vyakutosha, labda hapo mwisho ndo pakufanyia kazi huenda anaocheza nao ndo wabovuSaikolojia ipo hiv! Hakuna mtoto mtundu, malezi na maeneo tunayolelea watoto ndiyo humuharibu mtoto.
Mfano; mtoto hana sehemu ya kuchezea wala vifaa vya michezo, matokeo yake vile mnavyovitumia ndiyo atachezea kama tv, rimoti, majiko, etc na chumbani kwako ndiyo itakuwa sehemu ya michezo yake maana utakuta akitoka nje ya chumba ni korido ina majiko na ndoo za maji kibao.
Hamia nyumba kubwa, nunua vifaa vingi sana ikiwemo baiskeli games za tofali, vigari na vitoi mbalimbali. Utundu utakwisha maana atakuwa busy na michezo yake na eneo analo la kutosha.
Pia vitamuongezea maarifa.
NB: Angalia sana anaocheza nao wana tabia gami.
Habari wana JF,,
Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu.
Laiti kungekua na selo za watoto nadhani ningempeleka kwanza akatulie huko, please mwenye kujua njia nzuri ya kumkabili mtoto wa aina hii anijuze maana nahisi kuchanganyikiwa.
dah! mungu afanye wepesi asijefikia hukuNikiwa mdogo kuna utundu nilkua naufanya ambao baada ya kukua niligundua nilikua nafanya jambo la hatari sana omba asije kua kama mimi.
Nilikua nachukua kiberiti cha gas kisha nakiwasha kwenye godoro godoro linawaka likianza kukolea nazima, nilikua nafurahia kuona ule moto wa blue na kijani.
kwa ushauri huu sina chakusema zaidi ya ahsante ndugu, ubarikiwe sanaHuyo mtoto inaonyesha ana akili nyingi sana. Mazingira mliyomuwekea hayaendani na kinachozunguruka kichwani mwake. Mnunulie Tableti, muwekee programu za kujifunzia huku akicheza (edutainment).
Jambo lingine ni kwamba huyo mtoto ana nishati nyingi (ni rambunctious): ina maana anahitaji nafasi ya kukimbiakimbia, kurukaruka na kuchezacheza mpaka mwili wake uchoke.
Mnunulie kifaa cha muziki kama vile gitaa na kinanda.
Je, anapata malezi ya wazazi wote wawili?
Kwa vyovyote vile: acha adhabu ya viboko kwa muda mrefu. Tumia mbinu tajwa hapo juu.
Kama mtoto ni wa kiume, angalia video ifuatayo ukipenda: