Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Mama ake pia hashindi nyumbani nduguAnza na mama ake, ndo anamchekea uyo dg
ahsante ndugu, ntafanyia kazi ushauri wakoNaona uongee nako tu ..kaambie kufanya hiki na hiki ni vibaya Tena ikiwezekana kaingizie na neno la Mungu.. mtoto wa miaka 5 anaelewa mbona
Majina ya kuridhi hubeba na tabia zao, mpe mtoto jina lake tena lenye future ndani yakekivipi ndugu, nieleweshe huenda nikapata suluhu
Cha kiurithi huzidimimi sikua mtundu ndugu ila baba ndo alikua mtundu mtundu, hata jina kamuita yeye sasa hadi tabia karithi japo babu yake mwenyewe anasema huyu kazidi utundu wake
Kwa mfano hiyo ya kumeza msumari anakuwa anawaza nini?Just don't dismiss him! Akija na anaonesha interest kwenye kitu chochote take a lead kutaka kujua anawaza nini na kama kuna majibu basi mpatie kama hayapo myatafute nyote.. that way uharibifu unaisha na yeye anapata kutii kiu yake ya kudadisi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
mimi sikua mtundu ndugu ila baba ndo alikua mtundu mtundu, hata jina kamuita yeye sasa hadi tabia karithi japo babu yake mwenyewe anasema huyu kazidi utundu wake
Kamekonda na kanaongea kama kandengereko?Habari wana JF,,
Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu.
Laiti kungekua na selo za watoto nadhani ningempeleka kwanza akatulie huko, please mwenye kujua njia nzuri ya kumkabili mtoto wa aina hii anijuze maana nahisi kuchanganyikiwa.
Huyo mtoto tegemea aje kuwa muoga hata kwenye haki zake na maslahi yake.Ok sasa kwa adhabu, kuna moja niliiona kwa jamaa yangu alikuwa na mtoto wa dizain hiyo, ila yule alikuwa mtukutu sana pia.. alimuingiza kwenye gunia, akalifunga kamba kwa juu kisha akalitundika kwenye mti, akatafuta fimbo, nadhani ushaelewa kilichoendelea.. Dogo baada ya kutoka pale, kama alikuwa mafunzoni, kanyooka hata rula imepinda.
Apply hiyo halafu ulete mrejesho!!
Weka vitu mbali naye ili asiviharibu, asijidhuru au kudhuru wengine.Habari wana JF,,
Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu.
Laiti kungekua na selo za watoto nadhani ningempeleka kwanza akatulie huko, please mwenye kujua njia nzuri ya kumkabili mtoto wa aina hii anijuze maana nahisi kuchanganyikiwa.
anaongea sana kama chiriku