Ni ipi ni njia nzuri ya kumdhibiti mtoto mtundu?

Nadhani kwa 'Comment' yako tu hii tayari umeshajua 'tatizo' la huyo 'Mwanao' Mtundu ( Mtukutu ) limeanzia wapo na 'utakabiliana' nalo vipi sasa.
babu yake hakua na utundu wa kuharibu vitu ndo maana anasema huyu kazidi, ila kupitia shauri za hapa jukwaani nadhani nitapata suluhu
 
Dawa ni fimbo, fimbo, fimbo......
Hakikisha anatandikwa bakora za kutosha, kwa utaratibu mzuri na kiuungwana. Atanyooka tu.
Dawa ni fimbo, fimbo, fimbo......
Hakikisha anatandikwa bakora za kutosha, kwa utaratibu mzuri na kiuungwana. Atanyooka tu.
fimbo hazijasaidia ndo maana nikatafuta ushauri hapa, shauri nyingi hapa ni nzuri na natumai zitanipa utatuzi wa jambo hili
 
ahsante ndugu
 
dawa ni mikwaju tu.
 
Kwa hiyo majina bora ni Dickson, Fredrick, Mohammed etc.
Nawajua Neema na Bahati wengi tu wanajielewa. Vipi Neema ikiitwa kwa Kiingereza Grace inakuwa sawa?
 
Unapompa mtoto jina unanuia....!kile unachonuia ndicho kitakchotokea...na pia cku hiz wazaz wanatoa majina tu kwa kuangalia tamthilia na mitandao....!!

Kumpa mtoto jina ni zaidi kutamka tu...pale unamuomba Mungu mwanao awe mtu wa aina gan

Sasa kama issue ni kunuia una hakika gani Wazazi wa Neema, Baraka au Upendo hawakunuia mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…