Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Znz chini ya sultani, ilikuwa koloni la Oman miaka mingii, so wazenji wengi mahaba yao yapo huko
Sultan Saidi Sayyid wa Oman alihamia Zanzibar mwaka 1840 alikaa sana pale Maruhubi mpaka leo ile ngome ipo.

Sijui nani aliwafukuza unajua zanzibar ingekuwa tajiri kama Oman
 
Kwa kuthibitisha hili muulize pale zanzibar kina mwarabu anaoa au kuolewa na mswahili? Ni 1/ 1000 na ikitokea anatengwa na familia yake yoote ya kiarabu.
 
Saudi Arabia ni taifa la kishetani. Kama kawaida Trumped up cases kwa kila anayeonekana anatishia Utawala wa Mohamed Bin Salmin anayelindea na Marekani kwa makubaliano ya kuwapa mafuta.
 
Kwa kuthibitisha hili muulize pale zanzibar kina mwarabu anaoa au kuolewa na mswahili? Ni 1/ 1000 na ikitokea anatengwa na familia yake yoote ya kiarabu.
Sasa waarabu wako wangapi huko Zanzibar kulinganisha na jamii nyinginezo?!!!

Kwani huku bara ni rahisi kuoa/kuolewa na mtanzania mhindi ama mtanzania mzungu mwenye kuihuisha tamaduni yake?!!!

Kwako wewe mtu kutunza mila ,ada na tamaduni yake ni ubaguzi ?!!!😳😳🤣🤣

Ikiwa tu waafrika weusi wana vizingiti vya makabila na dini katika kuoana inakuwaje leo tutake kurahisisha muingiliano na hao niliowataja hapo juu?!!!

Kwani kushirikiana mambo ya kijamii ni lazima kuhusishe pia na ndoa baina ya jamii mbili tofauti?!!!
 
Waarabu ndio mabwana zenu. Huna history unayoijua wewe kenge.
Chuki na roho mbaya ndio utamaduni wenu machogo.
WEWE MGESE UMEWAHI KUMSIKIA RARAGASH historia yake huke Zenj?
 
Mkuu nilitaka kujibu hoja ya mtu pale juu anayetaka kutuaminisha sana kwamba Waarabu ni ndugu zetu.
 
Hivi ndiyo vijana wa bara mnavyowakomboa Wazanzibari?

 
Akili ndiyo zitaamua. Rwanda ni kanchi kadogo lakini kanaweza kuisambaratisha na kuitawala nchi yenye utitiri wa watu na rasilimali kama Congo.

Kuna kanchi kapo jangwani, hakuna lolote linalofaa, lakini wanatumia akili zao vyema, wanashindana na nchi zinazoitwa superpower nations..

Watu walioamua kuzika akili zao, kamwe hawatakuwa na nafasi kwenye ulimwengu huu wala unaokuja.

Muendelee kujidanyanya kwa idadi ya watu, mtaishia kuwa manamba, watumwa na vibarua wa wahindi, wazungu na waarabu.
 
Oman ina udugu wa damu na Zanzibar (ambayo iko Tanzania) ni zaidi ya hio historia ya ukoloni pekee kwa kulinganisha na uingereza, ujerumani nk. Oman inaposema inataka kusaidia naamini wanalenga haswa kusaidia ndugu zao wa damu.

Maasalaam,
Sio kweli, usiwadanganye watu. Oman haina undugu wala asili ya Zanzibar. Walikuwa watawala tu walioitawala Unguja na Pemba ( Wakoloni ) kama watawala wengine. Watu wa Unguja na Pemba walienda Oman kufanya kazi wakaloea wakabaki huko na sasa wanajiita Waarabu wa Oman kumbe ni Waunguja na wa Wapemba na hawana asili za Ki Arabu Kabisa!

Asili ya wa Unguja na wa Pemba ni " MIJIKENDA" na SIO WAARABU! acheni kujikweza kutafuta naswaba nyiingi.....

Na hao wanaojiita wa Oman wanawasaidia ndugu zao sio wa Oman ila ni hao Waunguja na Wapemba waliolowea / walioshi huko hao ndio ndugu zao waliowaacha huko visiwani.

Kwa taarifa zenu tu Waarabu Wenyewe Oman huwaita "ZINJIBARI" wanawajua hao ni Wazanzibari kutoka Zanzibar na sio Waarabu.

Acheni kuwadanganya watu!

Mkataa kwao..............

Sent from my P00C using JamiiForums mobile app
 
[emoji848]
 
Mahusiano na waarabu uishie chumbe huku bara hatuwataki na hiyo bandari ya Bagamoyo inaonyesha italeta taabu kubwa kwa nchi ya Tanganyika tuwe macho
 
EeeeenHeeeee, what a spin. Hiyo aya ya kwanza, wa Oman walikuja kuwakomboa waafrika kutoka kwenye ukoloni wa Mreno?
Ndio Kuna vita vingi tu na maarufu ni Fort Jesus Mombasa.
Huyo "mtawala mweusi" alitokea wapi?
Masultani wengi wa Zanzibar na Oman walikuwa ni machotara na wengine ni Weusi kabisa, walitokana na mchanganyiko wa Damu wa mamia ya miaka, babu na babu yao ni Mwarabu ilaa baada ya Inter marriage wanabadilika
Baadhi ya picha zao
Huyu ni Humud


Jamaa smart sana, Ana Ana tuzo nyingi kote mashariki na Magharibi UK, Italy, Portugal mpaka Ottoman, anafaa hata kwenye mitaala mashuleni afundishwe kuondoa mentality za kitumwa mashuleni.

Huyu Faisal

Ujana wake

Familia

Sasa walipokwishamwondoa mkoloni, na wao kuwa wakoloni wapya, hawakuleta wanawake wao, kama ma'settler' wengine wanvyofanya maeneo mengine, kama Afrika Kusini?
Unaweza ukaangalia picha za juu, mtu mweusi as long as ni lineage ya Familia zao habaguliwi Oman na wala Hakubaguliwa zanzibar, Hata Biashara ya Utumwa Zanzibar weusi wa Zanzibar hawakufanywa watumwa, mpaka Leo wa Znz wana status kama Mwarabu mwengine Oman.
Hivyo waliendeleza Familia zao hivyo hivyo za Machotara. Na WA Oman ni wa Chache sana at that time kama kumbukumbu ipo sahihi population ya Oman ni kama 50K, now wapo around 2M.
Wapo low profile mambo Mengi ndio maana hawajapita machoni mwako.
Wanazalisha sana hasa kitu gani, mafuta au gesi? Kuna kitu chochote cha kiwandani wanachotengeneza na wanasifika sana duniani kwa kitu hicho?
Mafuta na Gesi, Dhahabu, uvuvi, cement, optic fiber etc.

Wana export Vitu Japan Na China kuliko wanavyonunua, uchumi wao Asilimia 47 ni viwanda.

Ni nchi ya 41 duniani kwa Gdp per capita na ya 23 duniani Ukitumia PPP per capita.
 
Hata wabongo wapo wengi sana kule Salala Omani ,ni wale ambao wakikamatana huko mikoani wakija kuuzana pale Unguja.
Nendeni mkaulizie jamaa zenu msibwate tu.
View attachment 2153557View attachment 2153560Huyu anauza genge
Hawa ni baadhi tu! wamejazana huko kama kuku....
Wanautaka Uarabu kama hawana akili nzuri! "They wish..."
Eti leo wanajiita Waarabu wa Oman[emoji1]

Na ubini mkubwa wa wenyewe....


Kwao hawakutaki tena![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…