Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?


Mafundisho haya uliyapata kwa Mchungaji wako Tito?
 
Soma vizuri historia yako, nionavyo mimi Oman ndiyo ilikuwa koloni la Zanzibar.
 
mashariki

Jamaa smart sana, Ana Ana tuzo nyingi kote mashariki na Magharibi UK, Italy, Portugal mpaka Ottoman, anafaa hata kwenye mitaala mashuleni afundishwe kuondoa mentality za kitumwa mashuleni.
Hujasema hao weusi wametokea wapi, naona hili swali ni gumu kwako.
Hiyo Oman inawezekana ikawa kama Liberia? Waarabu walipoona hawataki kujihusisha na watu weusi wakawaundia nchi yao, Oman?
 
Hujasema hao weusi wametokea wapi, naona hili swali ni gumu kwako.
Hiyo Oman inawezekana ikawa kama Liberia? Waarabu walipoona hawataki kujihusisha na watu weusi wakawaundia nchi yao, Oman?
Conspiracy theory with no basis!
 
Conspiracy theory with no basis!
"Conspiracy theory".

Hiyo itakuwaje 'conspiracy theory', labda uwe hujui maana ya msemo huo.

Msaidie basi mwenzio kujibu swali nililouliza. Hao weusi wa Oman walitokea wapi. Asili yao ni wapi hasa? Au ni wa hapo hapo Oman zama na zama! Kama walivyo wale weusi wa New Guinea kule Mashariki ya mbali!

Sema hao weusi walitokea tokeaje wakawa hapo, na kuwa watawala wa sehemu hiyo.
 
Unapataje Uhuru kama hujatawaliwa?
Aisee!
Naona kama suala la Uhuru wa Znz limetawaliwa na propaganda nyingi..
Hii maana'ake nini?
👇👇
Disemba 10 mwaka 1963, Zanzibar ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza, lakini ya vyama vya ZNP na ZPPP iliyoingia madarakani iliondolewa katika mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964. Ni tarehe hiyo ya mapinduzi inayotambuliwa kama siku ya uhuru wa visiwa hivyo...

Nadhani Uhalisia ni kuwa, Znz ilipopata Uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo 10/12/1963, Uhuru huo uliangukia mikononi mwa wakoloni wengine - Waarabu, ndipo sasa mapinduzi yakafanyika kufurusha hao wakoloni wapya😊
 
Hujasema hao weusi wametokea wapi, naona hili swali ni gumu kwako.
Likely, itakuwa ni kutokana na ile 'biashara' ya akina Tiputipu - ukusanyaji wa binadamu toka huko Kigoma, Tabora, Dodoma, nk..
 
Mimi ninachojua tu tuna vyombo vya usalama imara zaidi Africa na ni watu makini mno. Watafuatilia kila move watakayoona itatuletea matatizo huko mbele, iwe kwa waarabu au wachina. Hii no nchi huru, sio koloni.
 
Jf kumbe kuna mabwege sana!
 
Kiongozi umemaliza. Ubarikiwe sana
 
Mimi ninachojua tu tuna vyombo vya usalama imara zaidi Africa na ni watu makini mno. Watafuatilia kila move watakayoona itatuletea matatizo huko mbele, iwe kwa waarabu au wachina. Hii no nchi huru, sio koloni.
Hahahaa..
Kwamba hao wanausalama wanaweza kutoa maelekezo ya kiweledi kwa mhimili uliojichimbia chini zaidi?!
 
Sioni tatizo
 
Unapataje Uhuru kama hujatawaliwa?
Uhuru ni mamlaka na si kutawaliwa,kutawaliwa kupo hadi leo,CCM inatawala Tanzania.
Zanzibar ilipata Uhuru kwa maana ya kupewa mamlaka ya kuongoza kuiendesha nchi yao ,leo Zanzibar haina mamlaka kamili na koti linazidi kuwabana. Koti Made in Tanganyika.
 
USA Kuna wamarekani weusi na shida wanazozipitia, vipi kuhusu waarabu weusi Oman wapo? Akili za kuambiwa changanya na za kwako...

Waarabu ni makatili hasa wala siwatetei lakini penye ukweli hatuwezi kupindisha.... Oman haina ubavu wa kututawala ABADANI ....
 
nachosisitiza yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kwa vyovyote vile tutachofanya akili iwe kumkichwa hakuna taifa ambalo litakuja tu bila kuangalia maslahi yake, wengi wanaangalia faida watakayopata na ndio maana ni busara kuwabana ili nasi tufaidike, hivyo tuwe makini na mikataba ambayo tutakayoingia nayo ili nchi ifaidike kwanza bila kujali walikuwa ndugu zetu wa damu au wakoloni wetu.

changamoto ni kuwa baadhi ya viongozi wetu wapo kimaslahi zaidi, badala ya kuangalia nchi itafaidika nini wao wanazingatia binafsi watapata nini, sasa hapa tutawalaumu watu weupe mpaka kesho ilhali sisi wenyewe ndio tuna makosa.
 
nachosisitiza ni huu undugu wa damu mnaolazimisha ilhali hakuna ndugu yako wa damu ambae anakufanyia madhila kama yale, vivyo hivyo kwa mzungu n.k wote walikuja kwa faida yao na si kingine. Hivyo kwa chochote tutachofanya tuangalie maslahi ya taifa kwanza, mambo ya undugu tupa kule maana tukichanganya urafiki na biashara tutapata hasara.
 
Hujasema hao weusi wametokea wapi, naona hili swali ni gumu kwako.
Hiyo Oman inawezekana ikawa kama Liberia? Waarabu walipoona hawataki kujihusisha na watu weusi wakawaundia nchi yao, Oman?
Hapana Oman ni Taifa kongwe, source ya watu weusi wa oman ni Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki Kuanzia Ethiopia hadi huku kwetu. Kumbuka kuna Kipindi makao makuu ya Oman yalikuwa ni Zanzibar kabla ya kugawanyika kuwa mataifa mawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…