Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Hawa waZenj wamepumbazwa sana na vijizawadi wanavyopewa kutoka kwa watawala wa Oman ambao ni ndugu wa Sultan aliyepinduliwa 1964!!
Sijui kwanini wanadhani hawa waliopinduliwa na sasa wako Oman hawataki kurudisha kile ambacho wanaamini walinyang'anywa? Mimi naona wanawakula timing tu siku moja mtakuja kukuta manowali iko nje ya Bandari wanayojenga na hapo ndiyo mtakapojua kunyoa au kusuka?
Mafundisho haya uliyapata kwa Mchungaji wako Tito?