Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

wachaga sio kwamba ni kama waisrail,no, ni asiliyao huko wakitokea sehemu za kaskazini mwa ethiopia ,walopokimbia vita ya wenyewe kwa wenyewe,walipofika kilimanjaro waliwakuta wapare na jamii flani ya wa2 wafupi wakawafukuza wafupi na wakapigana vita na wapare na wapare wakashindwa na kukimbilia huko walipo maana ya wapare ni"wapige"
 
Jambo la kwanza mila na desturi zao hawajaziacha.

Wanajua muda gani wasikilize dini na muda gani waheshimu dini na muda gani Asili yao.

Umoja na mshikamano, wanasaidiana, mwenye nacho anampandisha asie nacho.

Umakini na kutokutaka mchezo na mzaha kifedha.

Elimu, upana wao wa waliosoma ni mkubwa kiasi ambacho hata wachache wasio elimu hujiegemeza na kuokolewa na wingi wa wasomi.

Kwa leo ni hayo tu.
 
tafuta pesa ukipata utaacha kuzungumzia mada zisizo na kichwa, hivi wakinga pamoja na elimu Yao ndogo wamewakimbiza wachaga kariakoo.
 
mimi sio mkinga wala sio mbena, ila kwa kifupi, haujawajua wakinga na utatumia muda mrefu sana kuwafahamu. wakinga ndio wanaoimport hao mangi wanajumua toka kwa wakinga. ulishasikia kitu kinaitwa MAPEMBELO.., shipping company? mapembelo ni namna ya kusalimia kwa kikinga na wao ndio wanakodi meli nzima wanawaletea kina mangi hapo. ndugu zangu wengi pia kwenye familia yangu wanafanya biashara kariakoo hivyo naongea ninachokijua.
 
Wawafundishe na hiki kizazi cha 2000.
Hizi sifa zitapotea kama kama kizazi hiki cha dotcom hakitatreatiwa sawia.
Hawa machalii wanazingua sana, kuna dogo wa kichaga nilikaa nae aloo yule dogo ni mvivu kama mbondei vile. Mpaka unajiuliza huyu mchaga kweli??
Matumizi mabovu ya pesa, akienda town kununua vitu anapigwa hovyo hovyo.

Wachaga watu wazima wako vyema sana kichwani ila kizazi hiki changamoto sana aisee.
 
Naomba ni declare mm ni mchaga...
Tuna madhaifu yetu na pia tuna mazuri yetu.....

Mwaka 2010 niliajiriwa mahali na mtu ambaye tulipishana mwaka mmoja tu....

Yule jamaa ni mrombo.....
By that time alikua ana mkopo karibu 4billion

Imagine hapo tupo kwenye early thirties....

Jamaa ni Mrombo....na sasa ni tajiri wa kutupa...

Mchaga akiwa kwenye biashara userious wake si wa mchezo..ni bahati mbaya sana ushirikina umetawala kwenye biashara ndio maana wachaga wengi wanaanguka....

Hao kina hans Macha(Ricky Hill), Davis Mosha(kobil na delina)..michael Ngaleku(presion Air) Deo Marandu( emirate aluminium) kiria ( marriot hotel na Tiffany Hotel) wana hela kweli kweli....

Huyo Hans anapokea gawio CRDB nearly bilions kwa mwaka...

Lkn tunakubali makabila mengine yanajitahidi sana..ila wachaga wapo very serious ,very serious
 
Aliyeweza kuunganisha makabila mbalimbali na kutengenza jina moja la kabila la "Wachaga" ndo chanzo cha mafanikio yao. Yale ni makabila mbali mbali yaliyoungana, so kwa nje wanonekana wamoja lakini kwa ndani wana vita ya kila kabila kupata mafanikio, so boom. Kama kuna mtu anabisha Wachanga sio mchanganyiko wa makabila mengi, anitajie kabila moja ambalo hawasikilizani kama Wachaga nami nitafuta kauli yangu.
 
Huu Uzi ameanzisha mchaga mwenye multiple id kisha anajijibu na kukoment sehemu kubwa.
 

Broo huu mjadala ulishafungwa. Umejadiliwa vya kutosha huenda hujawahi soma mijadala yake. baada ya takwimu uhalisia ulionekana kwamba madogo wa njombe bado sana wengi wao hata viwanda hawana na biashara yao kubwa ni nguo. Hio bapembelo cagro kwako ndio mfano. Kkoo nzima wakinga wote hata wakiungana hawawezi kumfikia billionaire Primi mushi kifedha na majengo hapo kkoo.
 
Ila watu mnasifa za kijinga sana! Nyinyi huwa mnajiona ndo mnajua kutafuta hela nchi hii!Eti bilionea kwanza nani anamfahamu? Acha upumbavu wewe! Mbona Bakharesa tunamjua huyo bilionea wako ucharwa mbona hatumjui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…