Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, jamaa wapo mbali mno.
Kunaweza kuwa na makabila yanayowafatia ila ni gepu refu mno.
Elimu, kuna wasomi wengi wa kichaga hasa ukizingatia kwao ndio sehem yenye shule nyingi zaidi hapa nchini, hapa wenzao wahaya lakini wahaya cha kujivunia huwa ni elimu pekee.
Biashara - Ni kama kipaji chao cha asili hata kwa ambao wameishia darasa la 7 wapo wanaofanya makubwa, ukija kwa wasomi nako wamejaa wamefungua makampuni, najua kuna wanaofatia wapo wakinga, waha, wasukuma, n.k ila wamepigwa gepu refu mnooo !! refu mnoo !!
siasa - ccm wamo na vyama vingi maarufu vya upinzani kuanzia tlp, nccr, chadema vina asili ya wachaga,
kuendeleza na kujenga kwao hawana mpinzani, nimeona makabila mengine wengine wanajaribu jaribu wanajenga nyumba za kisasa huko vijijini kwao ila unakuta kijiji kizima nyumba hizo zinahesabika,
kujaa kwenye system, vyeo, mawazir, mabalozi, wakurugenzi, wakuu wa taasisi, ikulu, n.k.
..........................
Kwa wengi unaweza kukuta kwenye elimu wapo ila kwengine zero
wengine unaweza kuta wanajitahidi biashara ila huko kwao hakutamaniki na elim bado sana
n.k.