Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Wachaga/uchagani kumeendelea nini!?..wachaga wangapi wapo kwenye system?
Uchagani ni zaidi ya masaki, majumba, barabara,umeme,maji,shule,mahospitali,makanisa na vingine vingi.
Kwenye system ni kuwa hawapo kwenye political positions ila kila ofisi wamejaa, mashirika ya uma na kimataifa wapo,biashara kenya na kwingineko wapo
 
Kule mtoto wa mwenzio akifaulu mitihani jamii yote inafurahia,

Mtoto wa jirani akinunua gari au kujenga ni furaha kwa jamii nzima na fahari ya wote,

Lakini njoo huku kwingine uone ni kinyume chake [emoji108]

Tena unakuta hadi ndugu wa tumbo moja wanamroga ndugu yao [emoji24]
 
Ningeongea, ila ntaishia kushambuliwa tu, swala la kutafuta liko maeneo mengi tu, hv mnawajua vizuri waNyabtuzu... Sukuma ya Simiyu?
 
Kumbukeni Tanzania ni third world country. In a nutshell wote maskini tu kwenye lense ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…